Kuna jamaa alipigiwa simu na mwanamke wakati wamepumzika na mkewe. Jamaa alimjibu uyo mwanamke ntakutafuta baadae. Mkewe akahoji ni nani uyo? Jamaa akajibu ni mjinga flan na ni demu wa rafiki yangu alimpa number yangu. Ungekuwa wewe ni mke wa jamaa uyo ungejickiaje au umefanyiwa ivyo ungehic nini