Toa mawazo yako kuhusu hili

Daty

Senior Member
Jul 1, 2011
126
13
Kuna jamaa alipigiwa simu na mwanamke wakati wamepumzika na mkewe. Jamaa alimjibu uyo mwanamke ntakutafuta baadae. Mkewe akahoji ni nani uyo? Jamaa akajibu ni mjinga flan na ni demu wa rafiki yangu alimpa number yangu. Ungekuwa wewe ni mke wa jamaa uyo ungejickiaje au umefanyiwa ivyo ungehic nini
 
Hapa sina ushauri kwakuwa siwezi kuwa demu wa huyo mshkaji. Ngoja wenyewe waje.
 
jamaa alipigiwa simu na demu akaambiwa nn?? mbona unatuweka makengezani?? kama hakuna editing hapo, czani kama kina kitu anangojea
 
mmmhhh!!! first demu ni dudu gani like alivyouliza mmoja hapo juu??
naona sielewi kabisaaa haya ok.....si basi kasema ataonana nae baadae kwani is there anyproblem?
cha muhimu hajakuacha wala hajakuficha simu alio reply thats all...inshaallah nasubiri maana demu ili nipate fikra zaid..
 
jamaa alipigiwa simu na demu <b>akaambiwa nn??</b> mbona unatuweka makengezani?? kama hakuna editing hapo, czani kama kina kitu anangojea
<br />
<br />
demu alianza kusalimia tu akamwambia ntakutafuta baadae
 
Kuna jamaa alipigiwa simu na mwanamke wakati wamepumzika na mkewe. Jamaa alimjibu uyo mwanamke ntakutafuta baadae. Mkewe akahoji ni nani uyo? Jamaa akajibu ni mjinga flan na ni demu wa rafiki yangu alimpa number yangu. Ungekuwa wewe ni mke wa jamaa uyo ungejickiaje au umefanyiwa ivyo ungehic nini
,
Ondoa hii yenye rangi nyekundu ili na wengine watoe mawazo yao, maana naamini hakuna anayeweza kuwa demu wa jamaa hata kinadharia.
 
Back
Top Bottom