Toa maoni yako kwenye katiba mpya.

Toa maoni yako kwenye katiba mpya.

Polisi na trafik wavae t shirt na kaptula tait zisizo na mifuko, wanyoe vipara,kofia ziwe trans parent na wavae ndala.. Hii itasaidia kupunguza mwanya wa kitu kidogo,
 
mtaala wa elimu ubadilishwe,tuanze kusoma chuo kikuu halafu tuende kupokea digree chekechea
 
wapinzan wa vyama wapunguze unoko
rahis/mkuu wa nchi achaguliwe na wabunge
spika achaguliwe na wananchi
mkuu wa majeshi achaguliwe na nchi jirani
pesa za bandia ziruhusiwe kufuta umaskini
mji mkuu wa tz uamie mwanza au bukoba
mkuu wa nchi awe anaoa kila mwaka na awe anachagua mabint kama mfalme mswat
siku ya kuzaliwa ya mkuu wa nchi iwekwe kwenye kalenda na kusherekewa na wote na iwe mapumziko.
vazi la kaptula liwe vazi la kuvaliwa bungeni kwa wanaume
kwa wabunge wa kike vazi liwe kimini
tv ta taifa ipate kibari cha kuonyesha picha za utupu
 
Yafuatayo ni maoni ya baadhi ya wadau...
Dereva: trafiki wacwepo barabarani
Mwanafunzi: hesabu zifutwe mashuleni.
Mfanyabiashara: TRA itaifishwe.
Mlevi: baa ziwepo maofisini.
Mdau na ww ongezea maoni yako.


Aina ya kodi zote zifutwe Tanzania
 
Back
Top Bottom