Toa maoni yako kuhusu siku ya kutokuvaa pants

Toa maoni yako kuhusu siku ya kutokuvaa pants

sirmudy

JF-Expert Member
Joined
May 12, 2010
Posts
386
Reaction score
119
NO PANTS DAY 1.jpg



NO PANTS DAY 2.jpg



NO PANTS DAY 3.jpg


NO PANTS DAY 2012..., Kama wabongo ni wataalamu wa kuiga, Tuige na hii.

Hii ni siku maaaum ya kutovaa suruali kwa wanawake na wanaume.....! Natamani na wabongo waige
 
Hahahahaha kwa wabongo lazma waige we ngoja kuona kwenye mitandao ushangae
 
sirmu said:
Natamani na wabongo waige
Hizi picha zilipigwa San Francisco, hivi wewe unajua bay area inajulikana kwa mambo gani zaidi ya technology?
 
wapo wanaosubiri waanze vipi ila ipo siku itakuwa kama hizo nchi walioanzisha kuto kuvaa pants na wabongo wajinga nao watakuwa hawavai kuenzi siku hiyo
 
Hii kitu ipo kweli????

Ipo saana tu... wenzetu ulaya hamnazo...,kwa mfano Finland kuna VAPPU DAY.., Utakuta siku hiyo kila mtu kalewa, kuanzia vijana hadi wazee.., ni nchi nzima...!
 
Back
Top Bottom