concSULPHURICacid
Member
- Nov 1, 2013
- 12
- 0
wakaguz wa serikali leo wamefunga baadh ya vyuo kadhaa vya uuguzi jijini Dar es salaam kwa kukosa sifa za kutoa mafunzo hayo.je ni sahihi kufunga vyuo wakati usahl wa wanafunz umeshafanyka na ada zmeshalipwa,,,nani alivipa usajil kama havijatimiza sifa!!?nini HATMA YA WANAFUNZI waliokua wakisoma KATIKA VYUO HIVYO.