Madame B
JF-Expert Member
- Apr 9, 2012
- 31,832
- 37,438
Wozaaaaaaaa......
Heheiyaaaaaaa.......
Walete waleteeeeeee......
Mlokole atashinda Jf bhana.
Wote wadanganyi na wadangiwa
Wozaaaaaaaa......
mwagika shemelaHakuna cha private Baba
Wacha tumwagike kama arch na madame s
Hahaha
Sent using Jamii Forums mobile app
Hahahahaha wozeeewer kuna watu wanajifanya watakatifu humuu hasa wanaume lakiniWozaaaaaaaa......
Heheiyaaaaaaa.......
Walete waleteeeeeee......
Mlokole atashinda Jf bhana.
Wote wadanganyi na wadangiwa



























Niko hapa nakosaje kwa mfanohuu uzi bila uwepo wako dada shemeji haujakamilika
moto hauzimiii
Shikamoo mkuu
Waende zao huko.Halafu wanaume makapuku yasiyo na hela jf kutwa yanatunanga yakikujua basi na suraa woiiii utakoma kutwa kucomment Demiss unakaa site 3 Dodoma mxeweew
Sent using Jamii Forums mobile app
Hapo sasa.
Watu sa hv wamekumbatiana, yeye anakazana kuita.
Ambiele Kiviele baba.....pambana na huba lakooooooook




















Ambiele Kiviele tuma vocha ya watu uliyoahidi.Hahahahaha wozeeewer kuna watu wanajifanya watakatifu humuu hasa wanaume lakini
Ambiele Kiviele umekimbia baada ya mm kutia maguu uache ubahili
Sent using Jamii Forums mobile app
Nipo tu mpendwa sema majukumu yanabana kimtindo ....Ulikuwaga wapi
Ndicho nilicho kifanya kwa msaada wa ndimi....Kama ilinitapisha inabidi uzoe
jamani pole na karib tena
Ulijuaje dada yani acha tuuu unashindana na mwanamke leo kesho naweza kuwa mke mdogo wa presidentWaende zao huko.
Kwanza mwenye pesa atashindana vijembe na madada ya Jf?
Watu wenyewe wengi wanalala stoo na mifugo yao