To you my love

To you my love

Hivi hamjui kuna kupendana na kuachana??? Halaf s jambo geni kuachana na mtu hamjui ilikuaje tukaamua kuachana, eleweni me na yeye we are no more. Nina haki ya kufanya chochote ili mradi nisivubje sheria za jf na nchi hii, yes nina haki ya kupenda na kupendwa tena baada ya kuachana na ndio hivi
Agiza kinywaji unachokunywa bill ije kwangu
 
My dear mahondaw, kabla hujanambia tuee makini zaman nishajua na naona sababu mengi yametokea humu meyaona mengine yalinikumba lakini mwisho wa siku maisha yanaendelea, mimi binafsi sijali chochote, sijali mtu yoyote atakachoongea, nampenda nilekua naye tena nampongeza haswa had leo tumefika hapa haikua kazi rahisi, na hakukata tamaa, yote n maisha najifunza bado tunajifunza kwa pamoja, ninachozingatia unapoanguka kokote kule nyanyuka jipanguse mavumbi songa mbele ndio hikimefanya, inshallah Allah atupe kila lenye heri.
Kila la heri mama angu achana na ya wana wa adam fanya vile moyo wako unapenda
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom