Madame S
JF-Expert Member
- Mar 4, 2015
- 17,177
- 34,444
Unanionea mpenziumebadili mada
Unanionea mpenziumebadili mada
We acha tu mpenzi, huon nikasema meitika japo sjajua naitiwa nn hahahhahahaha ningejua nisingelala tu nikaiona mapema loh sikutegemeakhaa leo kweli nimekuweza kwahiyo ukadandi uzi kwa mbele bwana
Alijifanya kunitaja na mimi eti nimemtongozea bwanake, alokuwa anapiga nae umbea akasambaza screen shots. Anaambiwa athibitishe akakimbia. Nilimshusha vibaya sana.Hahahhahahhaa espy hahhahahahhaha pls usiwe mkali hebu, si kama haya yaliyotokea before na mambo yanakuwaga hot hum tunashangaaga tu
Kama nilivyoku miss Madame......nijaalie hali yako dada yanguHahahaha nimekumissa sana
Nami bora nikapate wa kumpigaIla wenzako kule ndio wanapiga wanaume...
Kila la kheri

Usiseme hunsisemi tena
Nimeita "hii comment " mara tatu..🙂 🙂 🙂 🙂 braza jf jf jf jf jf
Alhamdulillah niko salama mm na familia yangu sjui huko kwako kakaKama nilivyoku miss Madame......nijaalie hali yako dada yangu
Kabisaaa ngoja kesho niende mitema beach nikaogeWooiitwende tukaoge na maji ya pwani
Na huku pia halikadhalika tu wazima tunamshukuru Mungu MuwezaAlhamdulillah niko salama mm na familia yangu sjui huko kwako kaka
Mepoa mm😀😀😀 pole ehh