To you my future hubby

Daaah!! Chini Ndio sifa zangu Tatizo Nini kiba100....


KIMEO CHANGU
 
Inakusaidia nini hiyo chura? And do you have a reasonable joystick au ndo vibamia wenyewe
Viumbe hai wana kitu kinachoitwa sexual traits ambazo ndizo huvutia jinsia nyingine linapokuja suala la sex kwa mfano wanaume wana sauti nzito,ndevu,vifua vikubwa e.t.c ambavyo huvutia wanawake na wanawake wana sauti nyembamba,ngozi laini,maziwa,chura e.t.c ambavyo huvutia wanaume!....kwa upande wangu mimi huwa navutiwa na chura kama vile kulivyo na wanawake ambao huvutiwa na vifua vikubwa vya wanaume!
 
Umechafukwa wajina maana nafatilia comments zako naona unatema cheche tuu.
Mpe hii Nalendwa
 
Niitieni wasukuma waje wanipe tafasiri hii "nkema amanilwe njingo"
 
Izo zote ni scene za bongo movies mbona unalalia kipaji nyumbani...

By then fake all but not orgasm, u will fade up...you already Disqualify

Sent using Jamii Forums mobile app
 



Eti limetunisha mgongo, sikuwezi wallah!


Yaani haya ni yale yale tulikuwa tunaongea jana. Kwa kweli mwanaume IQ bwana, si mrefu si mfupi nyingine zote mbwebwe tu.
Halafu imagine what a wastage mtu wa kuwa idle kiasi hicho, haipendezi kwa kweli.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Acha kumchanga mwenzio ana simple brain ndiyo maana vigezo vyake lazima visuits minds yake..! Ila asikushambulie maana naona yeye akiulizwa chura anachukia.

Mimi nataka kujua kichwani kuna nini basi..
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…