To you my future hubby



yaan km hujui dhana nzima ya sex hutaelewa raha ya kududuana mkuu! sipend ks huu msemo!believ me ukisikia mwanamke anaongelea hv mara bamia sijui nn huyo anajua sex kwa 32%! heheheheh!nashangaa na wanaume kutwa kujistukia!na vile ndo hawana techniques za mapenzi wanazid kuboa zaid
 
Whilst looking for the best, you loose Good and Better!

Yours faithfully,
F.Hb
Future Hubby
-i like you!

CC binti miss


Sent using Jamii Forums mobile app
 
hhahhah ni mbwembwe tu hizo shoga kuiga umagharibi! mie nimeshkua thou its too late!...mie nadhan men smart(in &out) ndo anamatter zaid mengn ni UTOTO TU!mxiew
Bora mumeona msaidieni mdogo wenu..! Ndoa ni UTAMU na UCHUNGU as long as nidhamu ni dhamana ya kila mmoja wenu..!
 
Njoo pm
 

Ohohohohoo.....kaongea vitu vizur kweli na ambavyo kila mwanaume anataman afanyiwe na mke wake.....lkn hajui anachokiongea sabab assume maisha yamewagonga na wanaishi tandale kweli, mmewe labda at that time ana kibarua cha ulinzi sehemu flan, mlo mmoja kwa siku, chumba wamepanga kimoja na wana watoto watatu, chumba chenyew mbavu za mbwa ukikohoa tuu jirani nyumba ya pili anasikia etc.......sasa hapo sijui kupeana kimoja kutatoka wapi.....akishampa kimoja anaelekea jikon (sijui hilo jiko litakuw wap mana chumba cheyew kimoja tuu)......

bint miss umeongea in too much fantasy....
 
itakua umepikiwa supu eti?

Madame S
Jamani acha kunitishia mwenzio, nitakomaa na malaika aliyepewa jukumu la kuulinda hii kesi inaweza fika mbali sana, mpk kwenye kiti cha enzi cha Mungu baba aiamue mwenyewe ata Yesu nadhani anaweza ona ngumu..!
 


na ameongelea kumdrive kutoka kazini kwke!!hhhh wanaota hawa watoto! nakumbuka nilianza kuishi na hubby had leo huwa nacheka sn !yan ni ile kichuo chuo...huyu ana kitanda na huyu n kitanda ,una kafrij ka chuo n karedio ka cd 1! maisha yakaanza !tena kwa aman sana sana !ka tv ka chogo 14'hhhahahahahah! raha mnoooo! mshahara 320000/ dadek!
 
Jamani acha kunitishia mwenzio, nitakomaa na malaika aliyepewa jukumu la kuulinda hii kesi inaweza fika mbali sana, mpk kwenye kiti cha enzi cha Mungu baba aiamue mwenyewe ata Yesu nadhani anaweza ona ngumu..!
unanivunja mbavu zangu, komaa tu nakuombea awe wako upate ubavu wako

Madame S
 
hhahhah ni mbwembwe tu hizo shoga kuiga umagharibi! mie nimeshkua thou its too late!...mie nadhan men smart(in &out) ndo anamatter zaid mengn ni UTOTO TU!mxiew


Kwa kweli hapo kwenye U smart in, out, up and all over nakubaliana na wewe. Hilo linamaliza kila kitu.
Lakini pia kuna wanaume wa urefu kwa kati au wafupi na hutumia vigezo vingine kukosha wadada.
Binti miss inabidi aangalie hilo pia, anaweza kuwa sio mrefu lakini ana vigezo vingine mubashara.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…