To you my future hubby

iko cku utasema nilitoa wapi hili jitu

 
huyu amejiunga JF tarehe 29 July kwa muonekano wa uandishi wake ni Mhenga wa JF yaani huko kote hajawahi kupata wa kumwambia? halafu alivyojichanganya kasema atampenda hata kama hatakuwa akimfikisha Orgasm halafu mwisho kasema atamfanyia hivyo as long as Ni mrefu halafu hana Kibamia..Changudoa ni Vigumu kuwa Mke aslani... Yaani Ukishakuwa na Elelemnt ya Kikahaba basi hakuna haja ya kufikiria hayo amambo...... Nyie wadada mliozaliwa na Baba zenu wafupi ina maana mnakufuru Mungu na Kumcheka mama yenu kwa kukubali kuwa na huyo Baba Yenu...

Kiufupi Laani ya kuishi kwa Amani inatoka kinywani Mwako na Huitengeneza Mwenyewe.. Wadad wengi hawaolewi wala kupata Wachumba kwa kuwa hujitakia Laana kwa kutumia Matamanio ya Viuongo Vyao ..
 
Lazima utakuwa na kibamia wewe au andunje
wapo wanawake wanaopenda wanaume wafupi kama wewe, mimi walaa sitakaa niolewe na mwanaume mfupi NEVER kama nyie wanaume mnavyosema mwanamke bila chura havutii
 
Wiki ya kwanza na pengine mwaka wa kwanza, mtoto akizaliwa hayo yote hautayakumbuka.
 
Nimechelewa sana kuona huu uzi, hii ilikuwa fursa
 
Yuo really mean business miss!
Fingaz crossed!
 
Pole sana ukikua na ukiacha kuangalia tamthilia, afu uishi real life utayaona hayo yote ulioongea km mtihani kwko.
Unweza mpata lkn ndoa haiko hivo unavyodhani. Tena ninyi mnaoongea ongea sana ndio unakuta umempata huyo unayesema afu vitendo F kbs.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…