u say the true mkuu Excel weng wetu twasema kwa maneno lakin mama zetu wapo kweny mazingira magumu wengine wanaishi kweny mazingira ambayo hayaelezeki
unakuta mama yupo na wajukuu anawatuza,analipa ada za shule,nyumba mbovu sisi tupo mjini tunakula maisha tubadilike tuwapende ,tuwaheshimu na kuwatii tuwape mahitaj muhimu kwani wazazi ni wa muhimu kuliko watu wote duniani
I love my mom....Mwenyezi Mungu akubariki sana mama sina chakukulipa zaidi ya kukufanyia mazuri....
Mwanangu mpendwa miss chagga hebu njoo karibu yangu
baba nakuja baba nimeumia naona kila nikikkuona unanipita
observation nzuri ICHANA!.. hebu tazama hapa halafu unene kwa picha..
![]()
kuna gap kubwa sana kati ya hawa wawili..
acha tuu boss GAP ipo tena kwa mbali bora huyo mama ana vipande vya kanga na tabasamu watu watabisha bt mimi nasema tu ..
wsanii,watu na pesa zao,vijana wengi hatuwakumbuki wazazi unakuta mtu anagopa hta kukupeleka kiijini kwa maana wazazi wamechoka utadhani bibi na babu bt ukichunguza hawajazeeka ila wamechkaa kwa maisha magumu...mtu mjini anauvuja pesa kwake pesa karatasi mzazi anaishi nyumba mbovu ndo stoo,huko huko wanyama,wajukuu daaa inauma
kwani kujenga nyumba ya tofali 3 room weka bati ya kawaida 32 inch usiweke hata vigae or ALAF a.k.a mgongo mpana ya south inacost nini????? mtu anaenda kumsalimia mzazi alafu unalala gest house town...
semeni kwa vitendo sasa...
theory zatosha!
maisha marefu hayawezi kuja wakati mama anashindia njaa!
analala huku akinyeshewa kwenye kibanda cha nyasi!
mama huyo huyo ndiye akuleleee watoto wako unaopata bila kutarajia na hata kwa kutarajia!
ifike wakati tuwapende mama zetu kwa kuwaweka mazingira mazuri japo basic needs zote azipate kwa wakati muafaka!
wengine mpaka kusema kwao wapi inakuwa shida....!
vijana wa sasa tumeharibika sana mbali ya kuwa na elimu kubwa!
wakiulizwa wanasema 'we are busy'!!
umeonaeeee blah blah laki kumi
busy kuhonga plus luxury things
busy collecting stone while precisious people wanakufa
elimu tunayo bt haitusaidii tunakimbizwa na upepo wa ulimwengu huu
fainali hua uzeeni.... sijui turudishiwe wakoloni tujitambue kwa nguvu? LOLZ!
vijana wa sasa hatujielewi kabisa! starehe zimetumeza!