Unajua nyie ni viumbe wa ajabu, hapo lazima ukubali kuwa victim wa kurukaruka kwako, ata simba mwenyewe alei mtoto asiye wake.
Heshima yako mkuu lakini mada ya leo ni single mothers wanapokutana na challenge ya mwanaume yuko tayari kwa ndoa lakini bila mtoto.Sasa kama umeshaolewa... unakuwaje tena single mother??
Afu napenda kurekebisha... hakunaga kitu kama single mothers/fathers... kuna single parents.
Agiza chochote mkuu ntalipia...Kama Nanyie Wanawake Ambao Hamjazaa HamMko Tayari Kuishi Na Wanaume Wenye Watoto Basi Nasiye Wanaume Tunakuwa Hvyo Hvyo
Wabongo Lugha Haipandi Bora Umemwaga Mambo WaziwaziSasa kama umeshaolewa... unakuwaje tena single mother??
Afu napenda kurekebisha... hakunaga kitu kama single mothers/fathers... kuna single parents.
Pamoja na kuwa kukulia kijijini hakuna ubaya hii ni jitihada zangu za kuweka tofauti ya watoto unao walea na mume wako na wale waliolelewa na babu na bibi kwa misingi ya wewe kuogopa ndoa yako.Kwani kukulia kijijini kuna ubaya gani jamani. Mbona tupo tuliokulia kijijini na tuna akili timamu...tena kama mwanaume huyo ndo atakuwa mwanaume wa shoka sasa
Sent using Jamii Forums mobile app
Kwa kweli inaumiza sanaThank you, unakuta una mume hataki kumuona mwanao, mume akiwa safarini ndiyo unaangiza mwanao aletwe, ukisikia anaingiza gari gatini unamwambia mtoto aondoke kwa kupitia mlango wa jikoni ni maisha gani haya hata kama ni pesa.
Rekebisha kwanza hapo kwa red kabla sijakasirika...Heshima yako mkuu lakini mada ya leo ni single mothers wanapokutana na challenge ya mwanaume yuko tayari kwa ndoa lakini bila mtoto.
Hawa Wadada Jf Humu Kuna Uzi Waliponda Kuwa Hawawezi Kukaa Na Wanaume Wenye Watoto Labda Watoto Waende Kwa Bibi Zao Sasa Leo Wanajifanyakuwa Tukae Na Watoto Wao Namie Nasema Haiwezekani
Ndo maana siku zote mimi huwa nasema ni vema mtu akaolewa na yule aliyezaa nae kama anamjali mwanae to that eksitenti. Kwenye haya maisha huwezi kupata kila kitu. Wewe uishi maisha mazuri na mwanao aishi maisha mazuri ni ngumu sana lazima ukubali kusacrifice kimojawapo.Pamoja na kuwa kukulia kijijini hakuna ubaya hii ni jitihada zangu za kuweka tofauti ya watoto unao walea na mume wako na wale waliolelewa na babu na bibi kwa misingi ya wewe kuogopa ndoa yako.
Rekebisha kwanza hapo kwa red kabla sijakasirika...
Mamito hivi furaha ya ndoa ipo kitandani tu? Eti Asprin nisaidie beibUnaiteketeza nafsi ya mwanao kwa furaha ya kitandani,huo ni upuuzi wa hali ya juu
Sent using Jamii Forums mobile app
Nimekuelewa mkuu, matatizo yanakuja pale single mother anapokosa msimamo. Kama jamaa amesema hawezi kuwa na wewe ni sawa, lakini aamue mawili kuwa asishiriki malezi yeyote ya mtoto mpaka mtoto atakapokuwa mkubwa amtafute baba yake. Haya mambo ha kuwa nitakuja kumsalimia Joseph nisiyasikie as long as we are no longer together.Ndo maana siku zote mimi huwa nasema ni vema mtu akaolewa na yule aliyezaa nae kama anamjali mwanae to that eksitenti. Kwenye haya maisha huwezi kupata kila kitu. Wewe uishi maisha mazuri na mwanao aishi maisha mazuri ni ngumu sana lazima ukubali kusacrifice kimojawapo.
1. Uolewe na mwanaume mnayependana kwa dhati mtoto ukamtupe kijijini
2. Muoane wazazi wa mtoto hata kama hampendani kihivyoo ili mradi kuhakikisha mtoto anapata malezi ya wazazi wote wawili
3. Mama ubaki single milele ili umlee mwanao kwa Uhuru
Chaguo ni lako...umtoe kafara mtoto kwaajili ya furaha yako wewe au usacrifice furaha yako kwaajili ya mtoto
Sent using Jamii Forums mobile app
Unaachaje mwanao sababu ya dudu,mwanaume akikupenda kweli hata uwe na watoto sita atakaa nao na kuishi nao kama wakwake.
Sent using Jamii Forums mobile app
Hahahahaaaa naona na huku unapatikanaMamito hivi furaha ya ndoa ipo kitandani tu? Eti Asprin nisaidie beib
Sent using Jamii Forums mobile app