Mshana Jr
Platinum Member
- Aug 19, 2012
- 269,638
- 697,929
Mimi ninayo njooo pm nikupe
Mimi ninayo njooo pm nikupe
Ndio mkuu nakusaka sana nimefurahi umepatiksnaDuu naona unanisaka kila kona
#whatsup namba yako mwisho 77.nimechek dp yako UNAONEKANA mbavu sana.ila kwa KITI ULICHUCHUMAAAA ukautafuta uvungu
Hehee#whatsup namba yako mwisho 77.nimechek dp yako UNAONEKANA mbavu sana.ila kwa KITI ULICHUCHUMAAAA ukautafuta uvungu
Ndio mkuu nakusaka sana nimefurahi umepatiksna
#whatsup namba yako mwisho 77.nimechek dp yako UNAONEKANA mbavu sana.ila kwa KITI ULICHUCHUMAAAA ukautafuta uvungu
Hehee
Nawe vipi tena kwa profile yako naona udjat au unamwabudu horus mungu wa kimisri
Wewe kama mdada shukurummh! KWELI itakuwa unashida kubwa na Mshana Jr hadi umefungua iD mpya kwa ajili hiyo!!!!
Ukipata namba zake na mie naziomba, nina shida naye nataka aniangalizie nyota yangu, nina miezi karibia 6 sijatongozwa
Naipenda alama ya jicho! jicho linamaana kubwa sana kwangu,pia hi alama naipenda kwani nimetokea kuvutiwa na historia ya wamisri.. nikipata mpunga wa kutosha nitaenda kuyashangaa mapyramid na fahari mbalimbali za wamisri.. kuhusu Mungu I don't believe.Nawe vipi tena kwa profile yako naona udjat au unamwabudu horus mungu wa kimisri
Hiyo alama ipo katika Hieroglyphics hizi ni system za maandishi za ancient Egypt,hata mimi niko interested sana na ancient Egypt japo mimi nipo kwenye mystery religion zao zikihusisha miungu yao kama kina ISIS,Horus,osiris na wengine,na imani nyingine kedekede kama za kwenye the book of deadNaipenda alama ya jicho! jicho linamaana kubwa sana kwangu,pia hi alama naipenda kwani nimetokea kuvutiwa na historia ya wamisri.. nikipata mpunga wa kutosha nitaenda kuyashangaa mapyramid na fahari mbalimbali za wamisri.. kuhusu Mungu I don't believe.
Subiri atakutumia namba yake kwa njia ya kunguru usikimbie tu ukiona kunguru ana hirizi kubwa kama nokia tochi