GENTA ndiye mwanaume mwenye mvuto kuliko wote JF

MZURI SANA

JF-Expert Member
Oct 19, 2023
240
546
Wana JF,

Kwa heshima yote mie binti mzuri mdada nilijiunga JF leo.

Naomba nitoe mchango wangu kwa kutambua uwepo wa wanaume wanaongoza kuwa na mvuto na ushawishi humu ndani ambao ni GENTAMYCINE na MSHANA JR.

Hawa ndio wanaume wanaongoza kwa mvuto humu ndani, sidhani kuna wakunipinga katika hilo.

Wanasifa nyingi sana zinazowafaa kupewa Tuzo hii.

Nimemaliza mie mdada Mzuri sana.

Nawapenda.

GENTAMYCINE

Mshana Jr
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom