Now thats ma babe talking....u've got me and everything you need...hahahaha....wapi my favourite wine darling?
I Looove the sound of that.... thanks darling..... :A S-heart-2::A S-heart-2::A S-heart-2:
Don't tell me you need a third glass... It's a Monday Sweet K ... please don't forget yourself..... What if i give you another remedy???
...daaah, mi 'kajua nimegonga penyewe aaah, kumbe nishachanganya madawa na kuzidisha kipimo!:biggrin1:
Anyhow... bado unaogopa tu??! lol
And as much as I LOVE, I care less about FEELING that I am being loved back....and this cuts across...be it AGAPE love or anything...as much as I LOVE, I LOVE genuinely,,,
The thing is, HOW LONG can somebody love someone? I have a FEELING that as as soon as you FEEL that you are not LOVED BACK, THEN that love itself is already dead and buried.
Now, shall we go and have a sleep babe?
now that will eb a 'disaster', only that we wont need relief workers to rescue us......LOL:tonguez:
Dogo vipi tena wewe? Mu kichwa kuna nini?
Haya mambo ukiyawekea hisa nyingi sana ujiandae kufupisha siku zako za kuliona jua. Mimi naamini ni sanaa zaidi kuliko ukweli!!!
Hata hivyo mambo ya love yanatembea kwa mwendo wa piston...reprocating motion!
Wonderful words from a wonderful man.... Darling am so ready to go to bed (mind you not to sleep)...
You think??? Sweet K lets go discuss in bed hapa will be too much....
Thanks thanks babe....
umeona eeee...kuna watoto wapo hapawanachungulia....LOL
Darling usijali walikua page ya kwanza....lol
hahahahaha...kumbe eeh...basi ilivo ndefu hadi wafike huku.....:gossip::A S kiss::busu
There are currently 17 users browsing this thread. (7 members and 10 guests)
wakulu apo juu niaje,,,
Mkuu DC sijaona bado maneno yako hapa.....mi an shemejio Asha D ndo twataka kwenda kupumzika ivo, keshatilia malingerie yake tayari LOL
Ukipata bahati (nasema bahati kwa kuwa asilimia kubwa ya mapenzi ya siku hizi yamejaa uchakachuaji wa hali ya juu) ya kupendwa kwa mapenzi ya kweli kabisa nawe ukampenda muhusika sana tu...Acheni jamani kuna raha ya ajabu sana! Kila siku iendayo kwa Mungu unajiona ni mtu uliyejawa na furaha kupita kiasi.
http://www.youtube.com/watch?v=foiPNcg49PQ
We Steve D acha ukorofi... Huo wimbo wa the girl is mine si applicable kabisa hapa.... Usiku mwema ngoja tu niende Sweet K ananiita....
Hapana maneno mkuu wangu..nilikuwa napita pita kusalimia baada ya kuwaimbia watoto nyimbo za kuvutia usingizi!!
Mbona siku hizi hawa wadau wetu wamekubatiza jina jipya eti unaitwa "K"??????? Naomba uwambie kuwa mzee hapendi majina ya namna hiyo...sawa mkuu?
Vinginevyo tupo kama hatupo....!!