me love you....habari yake bana....
Wakuu wangu wana MMU salama?
Nimewamiss sana kwa kweli....!TUPO PAMOJA
KUNA KITU NAJIULIZA SANA for some three/four days now
-Kwamba wakati mwingine inatokea ''YOU LOVE SOMEONE'' lakini ''YOU DON'T FEEL LOVED''.hili naona kama linataka kuleta shida kidogo.
-Sasa najaribu kuelewa ninachokifikiri lakini nashindwa kidogo....!
For sometime niliwahi kuamini na ninaamini hivyo 'LOVE IS TO GIVE/LOVE IS OF MORE GIVING AND BEING/GETTING READY TO SUFFER'.
Kama seriously tunazungumzia love kwa maana ya love msemo huu unathibitishwa ''kiimani'' na YESU MWENYEWE pale alipoyatoa maisha yake kwa ajili yetu.
Lakini pia tunaona (kwa sisi wazazi) how much we give to our kids ili wapate mafanikio kielimu,kiimani kiafya na maswala yote muhimu.
Najaribu kutafakari what if wazazi wetu/au sisi kama wazazi tungehitaji '' FEELING LOVED' after giving so much to our kids.
-Wakuu mimi nawauliza kwenye malovee haya ambayo yanatutesa 24/7 DO WE NEED TO LOVE AND FEEL LOVED SIMULTANEOUSLY?
binafsi naona kama dah!
We Msichana...Mfalme wa Amani Teamo Ti anazungumzia Upendo wa Agape hapa, siyo wa Kitandani.Teamo
Hili swali ni gumu kusema ukweli. Katika muda wote niliokaa mie kwenye hiki chumba kiitwacho mapenzi nadhani ni afadhali ukaconcentrate kwenye kulove than to feel loved ........kwa sababu ukiangalia maudhi, vyanzo vyote vya matatizo katika mahusiano utaona yanatokea baada ya mtu ku-critically analyze kama anapendwa au lah............
.ukiigundua kuwa mwenzako hakurespect unaconclude kuwa - you are not being loved
Ukigundua mwenzio anacheat (hata kama ni kwa bahati mbaya!)- Unaconclude kuwa you are not being loved
Ukigundua mwenzio kakukosea kidogo/ hajatimiza majukumu yake - unakimbilia you are not being loved
To me I think it is better to feel love than feel loved, to give than receive.
Wakuu wangu wana MMU salama?
Nimewamiss sana kwa kweli....!TUPO PAMOJA
KUNA KITU NAJIULIZA SANA for some three/four days now
-Kwamba wakati mwingine inatokea ''YOU LOVE SOMEONE'' lakini ''YOU DON'T FEEL LOVED''.hili naona kama linataka kuleta shida kidogo.
-Sasa najaribu kuelewa ninachokifikiri lakini nashindwa kidogo....!
For sometime niliwahi kuamini na ninaamini hivyo 'LOVE IS TO GIVE/LOVE IS OF MORE GIVING AND BEING/GETTING READY TO SUFFER'.
Kama seriously tunazungumzia love kwa maana ya love msemo huu unathibitishwa ''kiimani'' na YESU MWENYEWE pale alipoyatoa maisha yake kwa ajili yetu.
Lakini pia tunaona (kwa sisi wazazi) how much we give to our kids ili wapate mafanikio kielimu,kiimani kiafya na maswala yote muhimu.
Najaribu kutafakari what if wazazi wetu/au sisi kama wazazi tungehitaji '' FEELING LOVED' after giving so much to our kids.
-Wakuu mimi nawauliza kwenye malovee haya ambayo yanatutesa 24/7 DO WE NEED TO LOVE AND FEEL LOVED SIMULTANEOUSLY?
binafsi naona kama dah!
Mkuu!!
Kuwa makini usichanganye mambo.
Naona hapo umeanza kukoroga mambo inaweza kukuchanganya zaidi. Ingawa upendo unaoongelewa ni uleule lakini fahamu kuwa;
Upendo wa jumla wa kumpenda Mwanadam mwenzako no matter yukoje-huo ndio anaouzungumzia Yesu
Upendo wa Mzazi kwa mtoto huo nao uko kivyake na applications zinatofautiana pia, mtoto its almost like a part of you, sasa sijui ukiupaka mwili wako mafuta mazuri na pafyum sijui unategemea ukulipe vipi kwa upendo ulioufanyia. (upendo wa aina hii ni kama sehemu ya jukumu lako pasipo kutarajia malipo ya upendo kiviiiiileeeee)
Upendo kwa Wazazi nao pia hauwezi kufanana na ule unaoutoa kwa watoto wako, japo nao ni kama sehemu ya jukumu lako la kuwajali wazazi wako na hata kama hawatarudisha mapenzi kwako lakini inakulazim kutenda tu coz ndio wazazi wako.
Upendo wa rafiki wa kawaida hasa wa jinsia moja na wewe haulingani na mwingine wowote pia, huu hutagemeana kushibana(mnaelewana katika mambo mbalimbali ya kimaisha). Huu sasa hutegemea fadhira zaidi kwa unalotenda kwa mwenzio vinginevyo huu kama unalegalega huwa unakufa.
Upendo wa Mpenzi sasa, huu bwana ndio wenye songombingo balaa, na huu wengi wetu unatuchanganya sana na tena unaweza kuvuru hata upendo mwingine wowote unaotuzunguka. Huu unahusisha hisia, mahitaji ya kimwili na unaenda mbali zaidi hata kutaka binadam mwingine kama wewe na mwenye akili zake na maamuzi yake aishi kama wewe unavyotaka na si kama wewe unavyoishi labda(nielewe vizuri hapo). Kinyume na matakwa hayo hayo ndio inaonekana unampenda lakini yeye hajali(nimeelezea kwa kifupi tu)
Haya, hayo ni ya kwangu changanya na yako sasa......!
.
We Msichana...Mfalme wa Amani Teamo Ti anazungumzia Upendo wa Agape hapa, siyo wa Kitandani.
Haya hebu msome tena.
nawashukuru sana wote mliochangia hapo juu....!
big ups mingi kwa daughter,piijeei,mj1,asprine,kakakiiza,pearl,asha d,prettiest,saidally et al
ninafikiria sana na ninaumia sana ninapoona ''to some people,making love seem difficult...THEY HURT EACH OTHER BECAUSE ONE OF THE TWO THINKS THAT HE/SHE GIVES A LOTS,but yet no hopes,no sincere...''...sasa najaribu kuuliza tena kwamba when we love/make love ni lazima tutegemee ''a pay back?''
WE DAWA....!
kitandani hakuna upendo....!
sex sio UPENDO ndugu
mimi ninavyoamini ni kwamba SEX/SEXUAL INTERCOURSE ni moja kati ya vichocheo vya mapenzi...!lakini SIO MAPENZI