TLS, Mwabukusi: "Mweleweni Polepole kwenye hoja yake ya mifumo ya CCM, INEC na NIDA kuhusiana na wizi wa chaguzi kiufundi."

brazaj

JF-Expert Member
Joined
Jul 26, 2016
Posts
34,776
Reaction score
46,050
Palikuwa na uzi humu:

Soma: Polepole kuitisha mifumo ya uchaguzi na NIDA kuhusiana na CCM kukaguliwa, ili kujiridhisha ina maana gani kiufundi?

Uzi huo ulikuwa na maelezo ya kina katika lugha rahisi kuhusiana na alichosema Polepole na kuibiwa uchaguzi alikokuangazia.

Ikumbukwe anayeweza kukudadavulia anavyoiba ni mwizi mwenyewe wala si Polepole. Hii isiwe hoja yetu wala haiwezi kuwa ya Polepole. "Hoja ni kufanyika uchunguzi (security audit) ya hizi servers zote zilizotajwa ili kujiridhisha."

Ushahidi wa nini kilifanyika uko kwenye servers hizo na hauwezi kuondoka. Kinachohitajika ni wachunguzi nguli walio wazalendo kweli kweli au nguli wowote kutokea nje wasiopendelea upande wowote.

Ndiyo maana Kenya walikomaa na vyungu. Wafungue vyungu!

Hoja aliyosema Polepole ni nyeti sana ambapo ni hatari zaidi kama kumbe hata TLS hadi leo wangali kuielewa. Mtu kuwa na unauthorized access kujua kafanya nini ndani kwako, labda akwambie yeye au manguli aina hizi ninaosema wamwumbue wao hadharani!

Hii ngoma iende kisheria baada ya kujulikana kikamilifu yaani kuwepo kwa taarifa hiyo ya kiufundi mno.

TLS na Mwabukusi kama wangali kuelewa wafahamishwe kuwasiliana na watalaamu, si lazima Polepole kwa ufafanuzi.

Polepole si mtalaamu na aghalabu si mwizi wetu. Huyo atasaidia kutoa taarifa zaidi tu zinazoweza kusaidia kwenye uelekeo (focus), ambapo audit yenyewe inaweza kuwa exhaustive bila hata taarifa zozote za ziada kutokea kwa Polepole au awaye yote.

Kwamba integrity ya server Iko questioned hapa si maneno tena! Hapa ni taarifa za utendaji wa server zenyewe na hizo haziwezi kuchezewa na mtu siku yoyote kuiathiri comprehensive audit ya aina hizi.

Iwapendeze TLS kufahamu wanahitaji msaada wa kiufundi kidogo tu ili kuelekea mahakamani kushinikiza vyungu kufunguliwa.

Wakenya hawa si wehu!

IMG_20240428_070927.jpg

Iwapendeze wadau kumfikishia uzi huu mzalendo kabisa Mwabukusi, kwa niaba ya wazalendo wengine.

Mungu awabariki Polepole na TAL, ama kweli tungeyajulia wapi haya?

Pia soma:
NRNE na mazagazaga yake ni mpango wa Mungu. Nani ajuaye kuwa Polepole leo, hatutajua walipo wenzetu waliopotea na yote ya uvunguni?
 
Palikuwa na uzi humu:

Soma: Polepole kuitisha mifumo ya uchaguzi na NIDA kuhusiana na CCM kukaguliwa, ili kujiridhisha ina maana gani kiufundi?

Uzi huo ulikuwa na maelezo ya kina katika lugha rahisi kuhusiana na alichosema Polepole na kuibiwa uchaguzi alikokuangazia.

Ikumbukwe anayeweza kukudadavulia anavyoiba ni mwizi mwenyewe wala si Polepole. Hii isiwe hoja yetu wala haiwezi kuwa ya Polepole. "Hoja ni kufanyika uchunguzi (security audit) ya hizi servers zote zilizotajwa ili kujiridhisha."

Ushahidi wa nini kilifanyika uko kwenye servers hizo na hauwezi kuondoka. Kinachohitajika ni wachunguzi nguli walio wazalendo kweli kweli au nguli wowote kutokea nje wasiopendelea upande wowote.

Ndiyo maana Kenya walikomaa na vyungu. Wafungue vyungu!

Hoja aliyosema Polepole ni nyeti sana ambapo ni hatari zaidi kama kumbe hata TLS hadi leo wangali kuielewa. Mtu kuwa na unauthorized access kujua kafanya nini ndani kwako? Labda akwambie yeye au manguli aina hizi ninaosema wamwumbue wao hadharani!

Hii ngoma iende kisheria baada ya kujulikana kikamilifu yaani kuwepo kwa taarifa hiyo ya kiufundi.

TLS na Mwabukusi kama wangali kuelewa wafahamishwe kuwasiliana na watalaamu, si lazima Polepole kwa ufafanuzi.

Polepole si mtalaamu na aghalabu si mwizi wetu. Huyo atasaidia kutoa taarifa zaidi tu zinazoweza kusaidia kwenye uelekeo, ambapo audit yenyewe inaweza kuwa exhaustive bila hata taarifa za ziada kutokea kwa Polepole au awaye yote.

Iwapendeze TLS.

Iwapendeze wadau kumfikishia uzi huu mzalendo Mwabukusi.
useless and completely nonsense,
nchi yetu itaendelea kufanya chaguzi zake manually na kwahivyo ni vizur zaidi wananchi kupuuzia upotoshaji ambao hauna maana yoyote.

vyama vya siasa vyote nchini,
vimekabidhiwa nakala za daftari la kudumu la wapiga kura ambalo ndilo litakalo tumika katika uchaguzi mkuu.

hakuna uhusiano wowote wa kiuchaguzi baina ya vitambulisho vya kupigia kura ambavyo ni mahususi kupigia kura tu dhidi ya vitambulisho vya Taifa ambavyo ni mahususi wa kutambua na kuthibitisha utaifa tu🐒
 
Zingatia uzi huo umejikita kwenye wizi unavyofanyija. Hayo labda awe kasema mwizi mwenyewe au auditor nguli wa kiufundi.

Zingatia mwizi atataka kukupoteza maboya!

Tukomae wafungue vyungu. Mzizi wote wa fitna uko hapo!
 
useless and completely nonsense,
nchi yetu itaendelea kufanya chaguzi zake manually na kwahivyo ni vizur zaidi wananchi kupuuzia upotoshaji ambao hauna maana yoyote.

vyama vya siasa vyote nchini,
vimekabidhiwa nakala za daftari la kudumu la wapiga kura ambalo ndilo litakalo tumika katika uchaguzi mkuu.

hakuna uhusiano wowote wa kiuchaguzi baina ya vitambulisho vya kupigia kura ambavyo ni mahususi kupigia kura tu dhidi ya vitambulisho vya Taifa ambavyo ni mahususi wa kutambua na kuthibitisha utaifa tu🐒

GFfUGgLWkAAh9uE.jpeg
 
Jizi linapojikakamua kutuelekeza wapi tukalitafutie na wapi tusilitafutie.

Mtake, mistake - vyungu mtafungua!
 
Back
Top Bottom