Mtani, TLS ipo na itaendelea kuwepo. Ina mafanikio makubwa katika nyanja zote za kisheria na kimaendeleo. Kwanza, inaendelea na majukumu yake kama kawaida. Pili, inasimamia ujenzi wa jengo lake ambao sasa uko katika hatua nzuri. Tatu, mambo mengi sasa yamegatuliwa kupelekwa katika ngazi za kikanda.
Nne, TLS imebakia kuwa msemaji wa Wanasheria katika mambo yote. Tano, TLS ipo tofauti kimfumo, kiutendaji na kimuonekano na vyama vya tasnia nyingine. Sita, mtani punguza kufuatilia visivyokuhusu. Kwako wewe kufanya kazi ni kuonekana na kuandikwa kwenye media? TLS is here to stay!