Nyani Ngabu
Platinum Member
- May 15, 2006
- 98,290
- 144,507
Hicho chama mbona kimya sana siku hizi?
Hakuna kinachoendelea huko au na chenyewe kipo spitali kinaumwa?
Vile vijikelele vilivyopigwa humu mwezi Machi 2017 nilivilinganisha na ujio wa pili wa Yesu [endapo atakuja tena[emoji16]].
Tokea rais wake afikwe na majaribu chama kama taasisi kimepooza mno. Ushahidi wa kwamba kilichokuwepo kipindi cha ule uchaguzi kilikuwa ni ushabiki maandazi wa cult of personality kuliko azma ya kujenga na kuendeleza taasisi iliyo imara itayoweza kusimama yenyewe bila kutegemea umaarufu wa mtu.
Halafu baadhi yetu tuliwaambia nyie makamanda kuwa hicho chama hakina mamlaka yoyote yale ya kiutendaji kulinganisha na rais wa jamhuri ya muungano wa Tanzania lakini mkawa hamuelewi.
Sasa karibia tena uchaguzi wake unafanyika. Unafanyika mwezi Machi, kama sijakosea.
Kime accomplish nini hicho chama tokea uchaguzi wake uliopita?
Toothless, powerless, worthless group of conceited individuals.