TLS kulikoni, mbona kimya sana siku hizi?

Hivi kuna ufahari gani kumtandika binadamu mwenzio risasi nyingi tu hlf Mwenyezi Mungu kamuokoa hakufa, bado tu unajiskia furaha yy kuwa hospitali kalazwa kwa matibu unakuja na tujipost twa kijingajinga kama hivi? Bora ungekaa kimya tu kuliko kuanzisha mjadala wa kitoto kama huu
 
Mtani, TLS ipo na itaendelea kuwepo. Ina mafanikio makubwa katika nyanja zote za kisheria na kimaendeleo. Kwanza, inaendelea na majukumu yake kama kawaida. Pili, inasimamia ujenzi wa jengo lake ambao sasa uko katika hatua nzuri. Tatu, mambo mengi sasa yamegatuliwa kupelekwa katika ngazi za kikanda.

Nne, TLS imebakia kuwa msemaji wa Wanasheria katika mambo yote. Tano, TLS ipo tofauti kimfumo, kiutendaji na kimuonekano na vyama vya tasnia nyingine. Sita, mtani punguza kufuatilia visivyokuhusu. Kwako wewe kufanya kazi ni kuonekana na kuandikwa kwenye media? TLS is here to stay!
TANZANIA LIARS SOCIETY=TLS.
 
Hivi kuna ufahari gani kumtandika binadamu mwenzio risasi nyingi tu hlf Mwenyezi Mungu kamuokoa hakufa, bado tu unajiskia furaha yy kuwa hospitali kalazwa kwa matibu unakuja na tujipost twa kijingajinga kama hivi? Bora ungekaa kimya tu kuliko kuanzisha mjadala wa kitoto kama huu

Screw you.
 
AYA YA SIKU

Na tuchunguze njia zetu na kuzijaribu, Na kumrudia Mungu tena.

Maombolezo 3:40
 
TLS ILIKUWEPO KABLA YA CHAMA CHENU HICHO NA ITAENDELEA KUWEPO!

OVA
 
Hicho chama mbona kimya sana siku hizi?

Hakuna kinachoendelea huko au na chenyewe kipo spitali kinaumwa?

Vile vijikelele vilivyopigwa humu mwezi Machi 2017 nilivilinganisha na ujio wa pili wa Yesu [endapo atakuja tena[emoji16]].

Tokea rais wake afikwe na majaribu chama kama taasisi kimepooza mno. Ushahidi wa kwamba kilichokuwepo kipindi cha ule uchaguzi kilikuwa ni ushabiki maandazi wa cult of personality kuliko azma ya kujenga na kuendeleza taasisi iliyo imara itayoweza kusimama yenyewe bila kutegemea umaarufu wa mtu.

Halafu baadhi yetu tuliwaambia nyie makamanda kuwa hicho chama hakina mamlaka yoyote yale ya kiutendaji kulinganisha na rais wa jamhuri ya muungano wa Tanzania lakini mkawa hamuelewi.

Sasa karibia tena uchaguzi wake unafanyika. Unafanyika mwezi Machi, kama sijakosea.

Kime accomplish nini hicho chama tokea uchaguzi wake uliopita?

Toothless, powerless, worthless group of conceited individuals.
Hahahaha....!! Nyani Ngabu!
 
Yeah, huyu Julius Magembe ni mshamba fulani wa Shinyanga, sasa tangu jamaa aanze kuonyesha u-kanda wa Ziwa, basi watu ni vikumbo tu kutafuta uteuzi

Ahahaaaa kabisa kwenye akili yako unadhani hilo ndo jina langu eeh?

Ungeweka basi kitambulisho.

Nacheka kwa madharau mengi sana kwa jinsi nilivyo na akili nyingi.
 
Hicho chama mbona kimya sana siku hizi?

Hakuna kinachoendelea huko au na chenyewe kipo spitali kinaumwa?

Vile vijikelele vilivyopigwa humu mwezi Machi 2017 nilivilinganisha na ujio wa pili wa Yesu [endapo atakuja tena[emoji16]].

Tokea rais wake afikwe na majaribu chama kama taasisi kimepooza mno. Ushahidi wa kwamba kilichokuwepo kipindi cha ule uchaguzi kilikuwa ni ushabiki maandazi wa cult of personality kuliko azma ya kujenga na kuendeleza taasisi iliyo imara itayoweza kusimama yenyewe bila kutegemea umaarufu wa mtu.

Halafu baadhi yetu tuliwaambia nyie makamanda kuwa hicho chama hakina mamlaka yoyote yale ya kiutendaji kulinganisha na rais wa jamhuri ya muungano wa Tanzania lakini mkawa hamuelewi.

Sasa karibia tena uchaguzi wake unafanyika. Unafanyika mwezi Machi, kama sijakosea.

Kime accomplish nini hicho chama tokea uchaguzi wake uliopita?

Toothless, powerless, worthless group of conceited individuals.
Akili za lumumba ni mgando
UBONGO wako unakufikirisha kwamba TLS ni TL[emoji38] [emoji196]
 
Back
Top Bottom