Kwakweli kabla hujaamua kuogelea maji ni vizuri ukayapima kwanza, CUF waliyapima wakaona yamo shingoni ni vizuri wakati mwaingine wapinzani wakiona hawawezi kufanikiwa wakaweza kuwapa supoti wengine wa upinzani
Rejao wakati wa Kampeini alisema kwamba kampeini za CCM na TLP ndiyo zinavutia umati wa watu na mshindi atatoka kwenye vyama hivyo viwili. Sina uhakika kama aliyasema hayo kimahaba au ni kutokana na ufinyu wa akili zake!

JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.