Tizama ITV online

Jana usiku mimi nilifanikiwa kuangalia mieleka ITV sijajaribu tena.
 
Guys kwa wale mlio nje ya nchi mnawezi kuangalia ITV live online bure.
Nenda www.tv4africa.com , install player alafu chagua ITV.Kuna channel za nchi nyingine ila zenyewe ni zakulipia.
Kua mvumilivu coz kwangu ilizingua mwanzoni ila sasa hivi iko fresh kabisa....haina chennga wala nini.
 
guys kwa wale mlio nje ya nchi mnawezi kuangalia itv live online bure.
Nenda www.tv4africa.com , install player alafu chagua itv.kuna channel za nchi nyingine ila zenyewe ni zakulipia.
Kua mvumilivu coz kwangu ilizingua mwanzoni ila sasa hivi iko fresh kabisa....haina chennga wala nini.
shwadakta..thx bana.
 
Mi inakataa..........inafail

Kama unapata ''NO SIGNAL'' ipe muda itaonyesha tu coz hata kwangu ilikua hivyo mwanzoni.It went on for hrs...ila tangu imeanza kuonyesha haijasumbua tena.
Ila kama tatizo lako ni zaidi ya hilo mh.........
 
Kuna message hii inajitokeza " please clik here to donate you will receive your login data immediatly after the donation" Hii kitu si ya bure na huenda pia ikala kwetu, ukithubutu kuingiza Namba za credit card na details huenda ikafanya mambo ya ajabu kabisa. For me I regard this as unsafe until I prove otherwise
 
Back
Top Bottom