Tizama alicho kifanya huyu mwanamke

Tizama alicho kifanya huyu mwanamke

Kabla ya kumtokea demu huwa najitizama umbo langu uzuri nina tambo zuri tu ila nawashauri wanamume wenzangu mzingatie tambo mke ana uzito wa 90 weye una 45 hata ujazo wa mfuko wa dongo ulaya hujafika ukaparamie hulk hogan kama huyu
 
Aaa wamezingua apo kwa boda

sent from my iPhone 6
 
Inavyooekana jamaa kapewa game hlf hata half time haijafika akasanda, xo anaitwa akamalizie alichoanzisha.
 
Back
Top Bottom