Titizo la kuisha chaji mapema

Greenify ni mkombozi chief
 
Shukran mkuu ntarud na feedback
 
Mkuu unatumia simu gani tuanzie hapo kwanza
 
kwa simu aina ya samsung ni kawaida tu kuwai kuisha chaji hasa pale betri linapoaza kupoteza uhalisia wake wa awali.
cha kufanya ujaribu kubadilisha betri nyengine na kama bado inaleta shida basi itakua ni tecnical issue
 
Jaribu kutumia chaja yenye output ya kuanzia 2 na kuendelea.
 
Wakuu tecno wameleta betri zinazodumu kwa siku kadhaa bila kuchajiwa na hazichajiwi kwa umeme wa tanesco wala solar Bali zinaanikwa juani kwa masaa mawili tafuta hizo...
 
Wakuu tecno wameleta betri zinazodumu kwa siku kadhaa bila kuchajiwa na hazichajiwi kwa umeme wa tanesco wala solar Bali zinaanikwa juani kwa masaa mawili tafuta hizo...
Kwa simu zote au simu za tecno tu?
 
Wakuu tecno wameleta betri zinazodumu kwa siku kadhaa bila kuchajiwa na hazichajiwi kwa umeme wa tanesco wala solar Bali zinaanikwa juani kwa masaa mawili tafuta hizo...
Embu ipige picha tuione sio unaongea porojo apa
 
mkuu chief mkwawa shukrani sana nimejaribu kuweka theme nyeusi kama ulivyonambia naona saiv mambo yapo vizur nashukuru kwa ushauri wako
 
Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…