Chifunanga
JF-Expert Member
- Oct 17, 2010
- 290
- 102
Moja ya kazi za hizi National Intelligences ni kuweka siri. Lakini mambo ya CIA, MOSAD, KGB na wengineo yapo kila sehemu.
Ila hawa ndugu zetu wa TISS wamejitahidi katika hii section ya kuweka siri....yaani hawana WEBSITE, halawa TWITTER account, hawana FACEBOOK account, na wala hawa OFFICIAL EMAIL.
Hawana PR (public relation person), ingawa Nzoka sijui nani alijaribu kufanya kazi hiyo kile kipindi Dr Wa ukweli alivyokuwa anatafuta Wachakachuaji.
Yaani ukitaka kusikia chochote kuhusu hawa Jamaa, ni lazima uje JF, ambapo pia story nyingi ni story tu na hazina ukweli.
Hata kwenye hii BUDGET sijasikia kipengele kilichotengwa kwa TISS......hivi POSHO zao nao wanakatwa?.....hivi kuna KIKAO cha BUNGE cha kuwadiscuss hawa jamaa.....mwenyekiti wake nani?
Hongereni TISS kwa kuwa Secret Service ya Ukweli.....sio wenzenu CIA information zao zipo nje nje tu kila sehemu.
Wadau mnaonaje?
Unadhani waliwezaje kumkamata/kumuua Usama?..Hongereni TISS kwa kuwa Secret Service ya Ukweli.....sio wenzenu CIA information zao zipo nje nje tu kila sehemu.
Wadau mnaonaje?
Moja ya kazi za hizi National Intelligences ni kuweka siri. Lakini mambo ya CIA, MOSAD, KGB na wengineo yapo kila sehemu.
... rushwa haiishi,ujambazi upo,madawa ya kulevya kila kona,mauaji ya wananchi kwenye uhalifu,mipakani kuna maaskari na wanajeshi sehemu nyingine na hivyo vyote hapo vina taasisi zake. sasa hawa jamaa wanafanya nini? !!!!
hasa za kuiba kura kwenye chaguzi za tz. kwanza me sioni hata faida yao kwa taifa letu... rushwa haiishi,ujambazi upo,madawa ya kulevya kila kona,mauaji ya wananchi kwenye uhalifu,mipakani kuna maaskari na wanajeshi sehemu nyingine na hivyo vyote hapo vina taasisi zake. sasa hawa jamaa wanafanya nini? usalama gani huo? eti utakuta wamemzunguka baba riz1,sasa nani ana shida na huyo mtu...wanakula hela tu..... masifa mengine bana!!!!!!!!!!!!!
yaani TISS ni PCCB, polisi na Jeshi ? Great Sinker
Mkuu kazi ya intelligence officer ni kuhakikisha kuwa maslahi ya taifa yanalindwa asilimai 100! Sasa katika ujambazi na matukio aliyosema mkuu pale awali, maslahi ya taifa yanachezewa na kuibiwa! Ndio maana mkuu akasema aliyosema!!
na kazi ya polisi ni nini?
Moja ya kazi za hizi National Intelligences ni kuweka siri. Lakini mambo ya CIA, MOSAD, KGB na wengineo yapo kila sehemu.
Ila hawa ndugu zetu wa TISS wamejitahidi katika hii section ya kuweka siri....yaani hawana WEBSITE, halawa TWITTER account, hawana FACEBOOK account, na wala hawa OFFICIAL EMAIL.
Hawana PR (public relation person), ingawa Nzoka sijui nani alijaribu kufanya kazi hiyo kile kipindi Dr Wa ukweli alivyokuwa anatafuta Wachakachuaji.
Yaani ukitaka kusikia chochote kuhusu hawa Jamaa, ni lazima uje JF, ambapo pia story nyingi ni story tu na hazina ukweli.
Hata kwenye hii BUDGET sijasikia kipengele kilichotengwa kwa TISS......hivi POSHO zao nao wanakatwa?.....hivi kuna KIKAO cha BUNGE cha kuwadiscuss hawa jamaa.....mwenyekiti wake nani?
Hongereni TISS kwa kuwa Secret Service ya Ukweli.....sio wenzenu CIA information zao zipo nje nje tu kila sehemu.
Wadau mnaonaje?
hao TISS, WANAFANYA UJASUSI WA KIZAMANI, ni sawa na wachawi tu, wanahangaika na adui ambae hawezi kudhuru taifa, wamegeuka kua adui wa kwanza wa Watanzani........!
wanahangaika kufuatilia humu JF kujua siri ya mwizi gani inatoka ili waanze kuizima.
wanaficha wezi wa mali ya umma, wanawawinda wanaopambana na uhalifu wa Taifa.