TISS and the Political Conondrum

TISS and the Political Conondrum

Nikiwa chuo kuna roomate mmoja alinitishia nisiongelee mambo ya siasa hasa kuponda chama tawala naakanionesha kuwa yeye ni TISS Kwakweli sikuwa na furaha kuona watu wanaopaswa kulinda free speech ndio wanaokiuka afterall hakuna kosa lolote kukipenda au kutokupenda chama chochote coz ni uhuru wa kikatiba hawatafanikiwa kuondoa uchafu ulioko nchini kama na wao ni sehem ya uchafu huo.
Free speech inakuingizia Wewe na familia Na nchi yako shilingi ngapi bwege wewe?
 
Mkuu, uongo oko wapi?

Ingekuwa tunaona uchaguzi unafanyika na mshindi halali anatangazwa hapo tungesema tiss inafanya kazi ya taifa. Lakini kama uporaji wa kura unafanyika kimachomacho, watu wanakuwa viongozi bila ridhaa ya wengi hapo kuna tiss au kikundi cha ccm? Mikataba yote mibovu inapita mbele ya macho yao, sasa hivi sheria zinatungea kuendana na utashi wa rais na sio matakwa ya wengi, hao tiss wanaona na kukaa kimya tu. Ili sheria zenye nio ovu zisipite inabidi wapinzani wapige kelele ndio kieleweke. Sasa hiyo taasisi isiyofanyiwa tathmini ya kueleweka maana yake ni nini?
 
Mkuu Ahsante kwa kuniamsha TOKA USINGIZINI Sikuwa ninajua hilo!.
Swali?
Hizi HARAKATI za KISIASA zinazofanywa na watu tunaowalipa kodi zetu kwa jina la TISS ni zipi hasa ili uzoirodheshe hapa chini na wao WAJIREKEBISHE?

Ni ngumu kujirekebisha kwani hata chombo kinachopima ufanisi wao hakifahamiki. Wao sehemu kubwa ni kuwakamia wanaokosoa watawala. Hawa wao wanalinda chama kilichopo madarakani kibaki kwa gharama yoyote kwani anayewalipa ndio anayewateua na yeye ndio anapima utendaji wao. Vinginevyo huu uhuni wa kuchezea box la kura usingekuwepo. In short hao usalama ni kwa maslahi ya viongozi na sio wananchi wote.
 
Politics over everything, that is our biggest night mare!

In other countries, security argencies serve their nations (the people), while in our country they serve the government (under a political party).

Our big boys will trace you out from the surburbs of the northern zone or from the peripheral of the southern regions, just for criticizing the ruling party. Meanwhile, they have no interest in the corrupt mineral contracts that leave our country with nothing!

Last time i heard the president complaining that the capitalists have taken over our gas from Mtwara, yet we are made to believe that our intelligence argency is among the best in Africa!

From RICHMOND, ESCROW and the like, one can learn that the people we should rely on do nothing but protecting our biggest enemies (corrupt leaders).

It is such a big shame that these guys won't even give us a little evidence to take these barbarian thieves to the court. Yet, they want our trust!

My patriotism and love for this country keeps deteriorating day after day, and i put all the blame on these guys.

Keep it up TISS, you guys are doing a great job for the country!
A great job towards a grave
 
Your hyperbolic language such a word word" WFK", Defines your ignorance and obnoxious kind of reasoning!!!..
WTF is “WFK”? Be coherent first. Otherwise, sounds like you’re the definition of dumb.
 
Kazi ya kutembelea mitandao ya jamii kama vile facebook, Insta ili kuangalia nani kamsema mtawala vibaya ili wamminye ndiyo kazi ya mashirika ya kijasusi yaliyo muflisi, yanaacha mambo makubwa kama vile Thamani ya kura ya mwananchi, Uhuru wa watu, Demokrasia, Utawala bora, Kulinda rasilimali za nchi, Supremacy ya Katiba, Umakini katika kutunga sheria za nchi, Kupitia mikataba mikubwa kabla ya kusainiwa na kutoa recommendations muafaka, Kufanya Vetting ya maana kabla ya kuwakabidhi watu mamlaka makubwa, Kuspearhead Diplomasia yenye mrengo wa Uchumi, Kuhakikisha Teuzi zinareflect umoja wa kitaifa badala ya muonekano wa udini , ukabila au ukanda, Kuhakikisha kizazi kijacho kinaandaliwa mapema kupokea kijiti cha maendeleo na uongozi wa Taifa, Kusponsor tafiti kupitia taasisi zilizochini ya mwavuli wake ili kusaidia kusukuma mbele gurudumu la maendeleo ya Taifa, Kuwalinda watu wote ambao ni potential leaders hata kama ni wa kutoka chama cha upinzani wasidhuriwe maana watu hao muda wowote wananchi wanaweza kuwakabidhi dhamana. Hizo ni baadhi ya kazi adhimu za Mashirika ya Kijasusi duniani siyo kutorture watu au kuwaharibia watu future kwa sababu wanatoa comments dhidi ya mtawala!. Mtawala ni sehemu muhimu ya Taifa lakini siyo Taifa lenyewe, na shirika la Kijasusi lazima liwe ni kwa ajili ya Taifa siyo mtu au chama fulani cha siasa!
 
Ni ngumu kujirekebisha kwani hata chombo kinachopima ufanisi wao hakifahamiki. Wao sehemu kubwa ni kuwakamia wanaokosoa watawala. Hawa wao wanalinda chama kilichopo madarakani kibaki kwa gharama yoyote kwani anayewalipa ndio anayewateua na yeye ndio anapima utendaji wao. Vinginevyo huu uhuni wa kuchezea box la kura usingekuwepo. In short hao usalama ni kwa maslahi ya viongozi na sio wananchi wote.
Shukrani mkuu!
 
Ingekuwa tunaona uchaguzi unafanyika na mshindi halali anatangazwa hapo tungesema tiss inafanya kazi ya taifa. Lakini kama uporaji wa kura unafanyika kimachomacho, watu wanakuwa viongozi bila ridhaa ya wengi hapo kuna tiss au kikundi cha ccm? Mikataba yote mibovu inapita mbele ya macho yao, sasa hivi sheria zinatungea kuendana na utashi wa rais na sio matakwa ya wengi, hao tiss wanaona na kukaa kimya tu. Ili sheria zenye nio ovu zisipite inabidi wapinzani wapige kelele ndio kieleweke. Sasa hiyo taasisi isiyofanyiwa tathmini ya kueleweka maana yake ni nini?
Wameupata ujumbe wako mkuu.
Huenda wataufanyia kazi.
 
Its just a theory brother ..thats why in my last sentence i stated that i could be wrong or right..
Now you can say i am wrong, others could say i am right..
It its Okay, We can agree to disagree!
 
Bhahanagaya nahhavahiava a anbai juyfinn miiokpkbh mvhufpkhybb nigubjugnbj b njgugjb h. nhuguvtarwva ajgkhybk jkulopoja dya swjhuhki umeelewa? Kama hujaelewa mambo ya ndani ya Usalama huwezi kuyaelewa, jali mambo yako!
it,s true
 
Back
Top Bottom