Mkuu Ahsante kwa kuniamsha TOKA USINGIZINI Sikuwa ninajua hilo!.Kulikuwa kuna KGB, stasi ya GDR na securitate ya Romania zote zikiwa na lengo la kuhakikisha mtawala anatawala milele. Yaani watu walikuwa wanaogopa kutoa maoni huru hata kwa wenzi wao.
Hazikuweza kuhimili upepo wa mabadiliko zilikufa na taarifa za jinai zao ziliwekwa hadharani.
Tusubiri kuona mwisho wa harakati za kisiasa za TISS.
Asanteni kwa kunisamehe.
Swali?
Hizi HARAKATI za KISIASA zinazofanywa na watu tunaowalipa kodi zetu kwa jina la TISS ni zipi hasa ili uzoirodheshe hapa chini na wao WAJIREKEBISHE?