Troll JF
Platinum Member
- Feb 6, 2015
- 9,278
- 13,707
Naangalia mitandaoni naona kuna mtu kavaa musk kajirekodi sijui wameanzisha kikundi cha Uasi nikajiuliza huyu anaifahamu Tanzania Vizuri??
Kikundi cha Uasi Tanzania??? Nawaambia hata siku mbili hakitachukua JWTZ ndo wakali wa hizo mambo hivi hamjiulizi Taangu tupate Uhuru kwanini vikundi hivyo havipo Tanzania?
Ila vijana ability ya kufanya reasoning imepungua sana haya ni kama ya Habil na Kabil Captain Tesha, na Cornel Agustino Polepole.
Captain Tesha alikua ni muumini wa Kanisa la Gwajima tuu. Akina Habil na Kabil kama mnavyojua
Akatokea Mlevi mmoja anaitwa Agustino Polepole mpaka sasa naona mmeshamfahamu mwaka ndo kwanza unaanza tutasikia mengi.
Kwa Tanzania Mazingira hayaruhusu ku operate vikundi vya uasi usifananishe Tanzania na Burundi na DR Congo???
Endeleeni Kuota.