Tishio dhidi ya TLS: Wanasheria Afrika Mashariki wamlima barua Waziri Mwakyembe

Zingine zote kaona hazina maana kuzitaja kaziweka kundi la VARIOUS MEDIA CHANNELS msisistizo akaona auweke kwenye gazeti lililopigwa marufuku tANZANIA la THE EAST AFRICAN ambalo ni kinara wa kuidhalilisha Tanzania hadi likapigwa marufuku kusambazwa Tanzania.Kuna watu wa nje ya nchi wanataka kuingilia mambo ya ndani ya Tanzania kwa kujificha kwenye chaka la EAST african law society na gazeti la THE EAST AFRICAN
Nafikiri kitu cha msingi ni... Mwakyembe alitamka hakutamka? wewe unasumbuka na minor issues eti walikaa lini itakusaidia kitu gani.
 
0cbfd53299c234a47e06966983c0c65a.jpg

209ab52edc878cd1cf08e21556b72fa0.jpg

d777b2251eed2fb2469289e5a85f7f94.jpg
Who are they? Hivi Zanzibar walienda wapi? Tumia akili yako.
 
hii sio kwa Mwakyembe pekeyake, ukiisoma utaelewa inamhusu baba J kwa kaulizake za hovyo hovyo kuhusu mambo ya kisheria. kama mawakili watakao watetea watuhumiwa mbalimbali nao washtakiwe, mifano yake iko mingi sana
Sidhani kama wamemlenga baba J, hiyo Lugha imemlenga mtu anayeweza kusoma, kuandika na kuongea kingereza
 
Wamewaambia Mwakyembe na John;
Sisi tulikua tunawachora tu mnavyoongea kauli za ajabu juu ya uwepo wa taasisi ya TLS, mnazingua.
Halafu kuna mwenzenu yeye mara anawatishia mawakili watakaotetea watuhumiwa, wakati mtuhumiwa ana haki ya kuwa na wakili.
Hizo tabia muache, sisi tunawaona
Kikwetu tunasema "eka mbe castr" yaan ( asante baba)
 
Sio siri,,,nafurahi kweli kweli kuona jinsi wakwongwe wa ccm walivo kaa kimyaaaaaa.

Inanipa majibu mengi sana kuhusu hii serikali na watu wake
 
Hii law society iliyotoa hilo tamko ni aibu kwa tasnia ya sheria africa masharriki yaani bila aibu wana quote magazeti na vyombo vya habari kuwa ndio source ya wao kufikia kutoa tamko lao!!! SHAME on you.

Mbowe tu aligoma kuitika wito wa Makonda kuwa hawezi kuitika kupitia wito wa kupitia vyombo vya habari.Tundu lisu na wanasheria wa Tanzania wakajifanya kusema sio sahihi kuitika wito kupitia vyombo vya habari sio official!!

Leo hii kichombo kinajiita EAST african law society kinajibu na kuchukulia kilichoandikwa magazetini kama official information na kukitolea tamko. Shame on you.What kind of lawyers are you?

Halafu ni lini wanachama wa EAST AFRICAN LAW SOCIETY WALIKAA na kumtuma huyo Richard Mugisha kutoa hilo tamko? Mtu hawezi ibuka tu nyumbani kwake na kujitolea tamko.East African Law SOCIETY MWONDOENI HUYO MTU anadhalilisha hiyo society
sasa wewe ulitakaje ,au unadhani Mwakyembe aliongea kwa uficho.
 
Mugisha, copy this to all International Law associations including the UN secretary General, UN Security Council and the like!
SOURCEof their information MEDIA!!!!!!!! copy to UN ha ha ha ha.If UN wants proof they will send the copy of THE EAST AFRICAN NEWSPAPER .Ha ha ha!!!!!!
 
waliwahi kumlima barua Yoweri Museveni?
Mkuu sikupenda kuandika kitu ktk hili Ila comment yako imenipa maswali mengi.Iweje swali lako liwe la kulinganisha jambo kwa kurudi hatua nyuma badala ya mbele ? Japo tupo jumuiya moja ya EA lakini yatupasa kuwa mfano kwao na sio kuwaiga wao walio tawala kibabe
 
SOURCEof their information MEDIA!!!!!!!! copy to UN ha ha ha ha.If UN wants proof they will send the copy of THE EAST AFRICAN NEWSPAPER .Ha ha ha!!!!!!
I am selective in responding to posts from the other side, GET BLESSED AND ENJOY YOUR DAY!
 
Hii law society iliyotoa hilo tamko ni aibu kwa tasnia ya sheria africa masharriki yaani bila aibu wana quote magazeti na vyombo vya habari kuwa ndio source ya wao kufikia kutoa tamko lao!!! SHAME on you.

Mbowe tu aligoma kuitika wito wa Makonda kuwa hawezi kuitika kupitia wito wa kupitia vyombo vya habari.Tundu lisu na wanasheria wa Tanzania wakajifanya kusema sio sahihi kuitika wito kupitia vyombo vya habari sio official!!

Leo hii kichombo kinajiita EAST african law society kinajibu na kuchukulia kilichoandikwa magazetini kama official information na kukitolea tamko. Shame on you.What kind of lawyers are you?

Halafu ni lini wanachama wa EAST AFRICAN LAW SOCIETY WALIKAA na kumtuma huyo Richard Mugisha kutoa hilo tamko? Mtu hawezi ibuka tu nyumbani kwake na kujitolea tamko.East African Law SOCIETY MWONDOENI HUYO MTU anadhalilisha hiyo society

Mkuu kwani upo Burundi maana mwakyembe alitoa hilo tangazo kupitia tv
 
Back
Top Bottom