Mcharo son
JF-Expert Member
- Mar 4, 2015
- 4,356
- 3,368
UNAELEWA KWA NINI WAMETUMIA OPEN LETTER?Hii law society iliyotoa hilo tamko ni aibu kwa tasnia ya sheria africa masharriki yaani bila aibu wana quote magazeti na vyombo vya habari kuwa ndio source ya wao kufikia kutoa tamko lao!!! SHAME on you.