Ting decoder packages

mimi ninayo dekoda ya ting AAL 003 kiukweli hawa jamaa wa TING wako juu mi siwezi sema mengi vika kwenye ofisi zao kwa sasa wapo mikoa yote Tz...namba zao ni 0769 85 85 85.
 
mimi ninayo dekoda ya ting AAL 003 kiukweli hawa jamaa wa TING wako juu mi siwezi sema mengi vika kwenye ofisi zao kwa sasa wapo mikoa yote Tz...namba zao ni 0769 85 85 85.

kwa kweli mhondo umeniboa kuwadanganya watz kuwa kuna package nzr kwenye aal-003.mpaka ss mna fr moja tu mtakuwaje wazur? Ila naikubal sn ricva yenu kwan unaweza ku2mika kwenye sats zingine.
 
Mleta uzi kauliza channels zainazopatikana kwa package ya elfu 10 na zile za elfu 25. Hajajibiwa.
 
mimi ninayo dekoda ya ting AAL 003 kiukweli hawa jamaa wa TING wako juu mi siwezi sema mengi vika kwenye ofisi zao kwa sasa wapo mikoa yote Tz...namba zao ni 0769 85 85 85.

kwa kweli mhondo umeniboa kuwadanganya watz kuwa kuna package nzr kwenye aal-003.mpaka ss mna fr moja tu 12275 h11200 dvbs2 mpeg4 mtakuwaje kuwa wazur? Ila naikubal sn ricva yenu kwan unaweza ku2mika kwenye sats zingine.
 
Nafikiri umekosea kunukuu mimi sijawahi kuandika kuwa kuna package nzuri kwenye Ting kwa sababu sijawahi kuimiliki. Siwezi kuzungumizia kitu ambacho sikijui.
 
Mkuu ni kweli mwanzo nilishindwa kuelewa ni kwa nini channel zote za kibongo hazipatikani kipitia STAR TIMES, mwishowe nikaja kuduwa ni wivu wa kibiashara tu; kwanini kwa mfano kampuni za STAR TV,ATN,EATV,ITV na TREDENT hawakubali channel zao ziwe multiplexed kupitia STAR TIMES maanake Wachina uwezo huo wanao sana. Badala yake hao jamaa wame wasusia Wachina eti na wenyewe wanataka kuanzisha ya kwao-lini? GOD KNOWS!

Katika hili mimi nailahumu Serikali yetu kwa kukosa msimamo katika hili - mwanzo walisema wazi wazi kwamba TV Stations zote Tanzania matangazo yao yote yawe multiplexed kupitia TBC/STAR times, na Wachina huwezo wa kutekeleza kazi hiyo wanao sana, vipi tena kibao kiligeuka? ndiyo nashindwa kuelewa. Serikali YETU wakati mwingine inapashwa kuwa firm katika mahamuzi yake, wasiwe pressurised na wafanya biashara kutuletea vurugu katika matangazo ya T-DBS. Mbona TBC1,TBC2, CHANNEL TEN, MLIMANI, SHIBUKA na CLOUDS wote matangazo yao yanapatikana through STAR TMES! why not them?

Biashara HURIA.
Hata hivyo * TIMES walikiuka mkataba.walitakiwa kuonyesha channel hizo kwa muda na baadae kuanza kulipia kwa kuwa wao wanapata faida na wakapuuza makubaliano hayo.
 
Startimes hakuna lolote ubabaishaji tu! Mimi ninayo naboreka tu! Nataka kuchukua ya TING sasa!

Kama Startimes wanakuboa, basi nakusihi usichukue TING huko ndo utalia kabisa, ukitaka raha nenda Dstv.
 
Easy TV unapata local channels zote, za habari ni cnn,bbc,aljazeera,n'k ntv kenya na citizen pia ubc ya uganda,pia wana channel maalumu 4 za movies za Action comedy n'k wanachannel moja ya michezo ambayo inatangaza kiarabu.

Kuhusu coverage. yao sijajua wapo hapa town tu au wameenea nchi nzima! Hii ni kampuni ya mwanzo kabisa kwa hapa tz ila hawajitangazi ndio tatizo lao kubwa, king'amuzi chao ni tsh 100,000 pamoja na matumizi ya miezi mitatu,kwa mwezi wanacharge tsh 9000

Star tv hakuna kwenye easy tv. Kumekuwa tu na kasumba ya kutowapa sifa Startimes ila kiukweli wanafunika ving'amuzi vya bongo. Hizo local channel zisizo Startimes ni capital, tvz, mlimani, Atn, trenet na c2c tu.
Zilizomo ni tbc1, tbc2, channel10, dtv, ctn, itv, star tv, eatv, clouds tv, tv tumaini, sibuka.
Bado kuna fox, fx, movies 1, MGM, star gold, star plus, b4u movies, african movie channel, e stars, MTV base, E! Entertainment, e Africa na nyingine nyingi zinazotimiza idadi ya channel zaidi ya 50.
Wakati easy wana channel 30 tu.
 
Star tv hakuna kwenye easy tv. Kumekuwa tu na kasumba ya kutowapa sifa Startimes ila kiukweli wanafunika ving'amuzi vya bongo. Hizo local channel zisizo Startimes ni capital, tvz, mlimani, Atn, trenet na c2c tu. Zilizomo ni tbc1, tbc2, channel10, dtv, ctn, itv, star tv, eatv, clouds tv, tv tumaini, sibuka.Bado kuna fox, fx, movies 1, MGM, star gold, star plus, b4u movies, african movie channel, e stars, MTV base, E! Entertainment, e Africa na nyingine nyingi zinazotimiza idadi ya channel zaidi ya 50.Wakati easy wana channel 30 tu.
Well said mkuu, hakuna wafanya biashara nchini wanao weza kushindana na Wachina wakafanikiwa, Wachina fedha za ku-invest kwenye ventures hizi wanazo sana. Tatizo kuu la wafanya biashra wetu hasa kwenye nyanja za media wanapakukia mambo bila ya kutafakali vizuri, hapa walijitia kuwa na uwezo wa kuingia katika anga za DVB kabla hawajajipanga vizuri, waliopo ambiwa wazime mitambo yao ya analogue wahanza kulalamika eti Serikali iruhusu dual transmission yaaani analogue na Digital eti Watanzania hawawezi kumudu kununua vigamzi/visimbuzi - kwa hiyo walikuwa amepania nchi yetu iendelea na mfumo wa stoneage era mpaka watakapo kuwa tayari - kwa maneno mengine Tanzania isubiri matakwa ya wafanya biashara mpaka watakapo kuwa tayari, walipo ambiwa wapitishe matangazo yao yote Startimes hawataki, wengine waliamua 2 go it alone wengine wakahungana mfano ITV na Star TV walitaka wawe na Kampuni moja ya kusambaza matangazo, baadae wakashindwa kuelewana kila mtu akafanya vya kwake - matokeo yake mpaka sasa hivi wanasua sua tu. Hivi kweli naweza kuamini kwamba watu hawa wana uwezo wa kulipia channels za gharama za juu zaidi ya hamsini au wataendelea ku-rebroadcast free channels kutoka kwenye satellite alafu walipishe watazamaji. Kuna kila dalili za kuonyesha wenzetu hawa hawajajipanga vizuri - nisijuwe siku za usoni itakuwaje.
 
Star tv hakuna kwenye easy tv. Kumekuwa tu na kasumba ya kutowapa sifa Startimes ila kiukweli wanafunika ving'amuzi vya bongo. Hizo local channel zisizo Startimes ni capital, tvz, mlimani, Atn, trenet na c2c tu.
Zilizomo ni tbc1, tbc2, channel10, dtv, ctn, itv, star tv, eatv, clouds tv, tv tumaini, sibuka.
Bado kuna fox, fx, movies 1, MGM, star gold, star plus, b4u movies, african movie channel, e stars, MTV base, E! Entertainment, e Africa na nyingine nyingi zinazotimiza idadi ya channel zaidi ya 50.
Wakati easy wana channel 30 tu.

Hii thread ni ya mwaka 2011, leo hii ni 2013... Startv wamejitoa Easytz kama miezi mitatu hivi imepita.
 
TING HD Ina channel 40, na TING RECEIVER ya dish ina 70, zikiwemo 9 za tanzania
 
TING HD Ina channel 40, na TING RECEIVER ya dish ina 70, zikiwemo 9 za tanzania

Daah, ungepata muda ukatuchambulia ingekuwa vizuri. Watu wanataka kujua channels kwa category. za sports, za Movies, za watoto, za news, n.k. Hebu fanya huu uchambuzi pengine waweza kutufanya tukawa wateja wa TING.
 
kuna MBC2, Z-CINEMA, COLORS, DUBAI ONE;
SMILE OF CHILD, SPACETOON, JEEM TV,
DUBAI SPORT, SETANTA AFRICA NA ACTION,
ALJAZEERA, CNN, na nyinginezo zikiwemo 9 za tanzania.
 
Kwa sasa zipo kwenye promotion toka july.
malipo yanaanza january 2014.
kuna ATN, TBC1, CTEN, DTV, TRENET, ITV, C5, STAR TV, CLOUDS TV.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom