Serikali iliangalie hili.
Natizama mechi ya simba na jkt gani sijui hawa. yaani simba wanacheza mpira lakini hawa jkt wanacheza rafu tu.
Mugalu kapigwa buti kapoteza fahamu. sasa katolewa.
Manula kapigwa kichwa makusudi nadhani sasa atakuwa anapelekwa hospitali.
Mambo ya hovyo sana.