NALIA NGWENA
JF-Expert Member
- Oct 6, 2016
- 10,206
- 12,738
Hii ni ligi ya Tano kwa ubora Africa Kama inavyolipotiwa Lakini ukiangalia timu zinavyocheza unaweza kuzani ni "shaulin soccer.
Kuna muda ukiangalia mpira mpaka unashika moyo unaona kabisa Hawa wanauana.
Mchezo dhidi ya Dodoma jiji na Azam kipindi Cha kwanza ilikua ni hatari sana walichezeana mchezo usipkuwa wa kiungwana mpaka Yaniki bangala alichanika msuli wa paja Kama ilivyoripotiwa na kitengo Cha madaktari wa klab za Azam Fc.
Mchezo wa Tabora United na Dodoma jiji Fc ulikua NI mchezo wenye madhambi mengi sana na Refalii alikua anapotezea tu mpaka unajiuliza huu ni mpira wa ugomvi??
NALIA NGWENA nachukua fursa hii kushauri makocha katika uwanja wa mazoezi wawafundishe wachezaji namna ya kulinda afya za wachezaji wenzao.
Na ndiyo maana hizi timu zinapokutana na Timu Kama Simba sc au Yanga Sc kwa uchezaji wao lazima zipatikane penati na kadi za njano mpaka nyekundu wachezaji wanakua wanazigharimu timu zao.