Labda mtachukua kombe linalo funikwa mwanaharamu apite ila la league nehiNaona kabisa kwa trend hii tunaenda kupotea. Huu mwendelezo wa kila mtu kulaumu ooh timu mbovu mara wachezaji hawachezi mara sijui Mo kafanyaje kwakweli itenda kutugharimu... kivipi
1) Hii hali inashusha morale ya wachezaji na kujisikia inferior kwa sababu hata sisi tuu tunaowashangilia tunawavunja moyo kwa kuwasema wakikosea kidogo. Mkunbuke ni hawahawa walikuwepo msimu ulopita hao wawili waliouzwa kina Chama hawakuwa wanacheza wenyewe bali ilikua wanacheza as a team hivyo basi tuombe Mungu tupate mwalimu atakae weka formart ya timu vzr.
2) Hii ishu inawapa faida upande wa pili kwa kujiona wao ni unstopable yani wao ni washindi,hii mentality ya kuona kwamba wao mwaka huu kombe ni lao tayari huo ni ushindi tosha. Mind set zao zinajiweka ki ushindi kitu ambacho bado mapema sana kusema wao ni washindi ndo kwaaanza ligi imeanza.
Ushauri wangu kwa wanasimba wenzangu wale tunaopenda timu yetu. Wale tulozaliwa tukajikuta ni Simba yani toka wadogo tunaipenda Simba kwanza tusiache kuipenda timu yetu tuipende mnoooo na tuipende kuliko siku zote, tuwape moyo wachezaji wetu ,tuwaambie wanaweza.
Halafu kingine acheni kuwapa vichwa utopolo kwanini mnawasifia sifia hivyo? Hata kama wana timu nzuri kaeni navyo moyoni huku kudeclare direct kuwa ni wazuri ni failure kubwa kwetu. Mwisho nasema hiviiii Simba tunachukua kombe kwa mara ya tano mfululizo huu uzi mtaufufua mwakani mwisho wa ligi. ...
Alamsiki
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Nguvu za kuandika umezipata wapi, wenzio wamelala mapema kwa aibu leo.
From pira biriani to pira bokoboko
Kuna watu jasiri sana kwakwel🤣🤣🤣🤣Nguvu za kuandika umezipata wapi, wenzio wamelala mapema kwa aibu leo.
From pira biriani to pira bokoboko
Katika timu mbovu na wale waliofungwa kwenye ngao ya hisani wamo!Simba bado ndio timu bora Tanzania.
Usitishwe na Utopolo wanakutana na timu mbovu. Ukitoa Simba timu bora Tanzania kwa sasa ni Polisi Tz, Biashara na Dodoma jiji.
Subiri uwaone wagosi wa kaya pira tutakalowachezea.
Ngao ya hisani sio kombe ni takatakaKatika timu mbovu na wale waliofungwa kwenye ngao ya hisani wamo!
Wewe sio shabiki wa Simba kaa hukohukomkuu tuache utani vyura wanapiga pira asali lenye mashambuli ya nyuki, yaani wanakusaka mpaka unajuta kukutana nao, tuombe mungu wakati tunakutana nao tuwe tumeimarika lasivyo tutadhalilika
Na waliotoka CAFCL preliminary round kwa kipigo nje ndani?Katika timu mbovu na wale waliofungwa kwenye ngao ya hisani wamo!
Sure. Hizo timu ulizotaja ni nzuri sana kwa sasaSimba bado ndio timu bora Tanzania.
Usitishwe na Utopolo wanakutana na timu mbovu. Ukitoa Simba timu bora Tanzania kwa sasa ni Polisi Tz, Biashara na Dodoma jiji.
Subiri uwaone wagosi wa kaya pira tutakalowachezea.
unanikosea adabu mi siwezi kua uto bt tuache utani kwa sasa uto wapo vizur.iWewe sio shabiki wa Simba kaa hukohuko