Timu yangu bora ya CHAN 2024 ni Madagascar

Think2

JF-Expert Member
Joined
Jan 3, 2025
Posts
2,193
Reaction score
3,957
Pamoja na kushinda kutwaa kombe la CHAN24 Madagascar inasalia kuwa timu yenye upambanaji mkubwa sana.

Hata lile goli la tatu nahisi refa hakufanya maamuzi baada ya mchezaji wa madagascar kusikumwa chini refa hakupuliza kipyenga.

Taifa stars nimeseme ukweli mlibahatisha tu kuwafunga madagascar.

Ipi timu yako bora chan24?
 
Timu zangu bora ni za waarabu

The best team ni Morocco 🇲🇦 hii haipingiki, sema tu huwapendi waarabu na ulitamani weusi washinde. Kwa anaejua ball hawezi kusema morocco timu mbovu, na ukizingatia hiyo sio timu A. Wangelikuwepo mabalozi wenyewe wakina hakim ziyech, achraf hakimi hao madagaska wako wangekula mkono.

Morocco mmenifurahisha kunipigia hao
 
Hujui maana ya Chan? Hao unaiwataja wanacheza wapi
 
Timu zangu bora ni za waarabu

The best team ni Morocco 🇲🇦 hii haipingiki, sema tu huwapendi waarabu na ulitamani weusi washinde. Kwa anaejua ball hawezi kusema morocco timu mbovu, na ukizingatia hiyo sio timu A. Wangelikuwepo mabalozi wenyewe wakina hakim ziyech, achraf hakimi hao madagaska wako wangekula mkono.

Morocco mmenifurahisha kunipigia hao
Baada ya kusoma jina lako
 
Naona umechangia "Kiislamu zaidi" japo Morocco sio Waarabu. 😁😁

Kwangu mi Madagascar ni timu nzuri. Mchezaji bora wa CHAN kwa upande wangu ni yule CAPTAIN wa Madagascar na anafuata huyu mmoroco mfungaji bora.

Jamaa anaweza na ni bonge la natural striker a.k.a goal poacher.
 
Timu zangu bora ni za waarabu

The best team ni Morocco 🇲🇦 hii haipingiki, sema tu huwapendi waarabu na ulitamani weusi washinde. Kwa anaejua ball hawezi kusema morocco timu mbovu, na ukizingatia hiyo sio timu A. Wangelikuwepo mabalozi wenyewe wakina hakim ziyech, achraf hakimi hao madagaska wako wangekula mkono.

Morocco mmenifurahisha kunipigia hao
Ulichokiandika ni uupuuzi
Udini unakusumbua mbuzi wewe

Uliowataja watachezaje Chan..
Mkiambiwa mnatumia ma*trako kufikri mamaind
 
Timu zangu bora ni za waarabu

The best team ni Morocco 🇲🇦 hii haipingiki, sema tu huwapendi waarabu na ulitamani weusi washinde. Kwa anaejua ball hawezi kusema morocco timu mbovu, na ukizingatia hiyo sio timu A. Wangelikuwepo mabalozi wenyewe wakina hakim ziyech, achraf hakimi hao madagaska wako wangekula mkono.

Morocco mmenifurahisha kunipigia hao
Lile goli la mwisho wamepewa tu refa alitakiwa apulize kipenga maana mchezaji wa madagascar alichezewa ndivyo sivyo alisukumwa
 
Pamoja na kushinda kutwaa kombe la CHAN24 Madagascar inasalia kuwa timu yenye upambanaji mkubwa sana.

Hata lile goli la tatu nahisi refa hakufanya maamuzi baada ya mchezaji wa madagascar kusikumwa chini refa hakupuliza kipyenga.

Taifa stars nimeseme ukweli mlibahatisha tu kuwafunga madagascar.

Ipi timu yako bora chan24?
Na rundo la red card?
 
Back
Top Bottom