Timu ya Taifa ipate kocha mwingine, Hamad Ally awe saidia kocha

Timu ya Taifa ipate kocha mwingine, Hamad Ally awe saidia kocha

Hakuna Kocha anafukuzwa kisa uteuzi wa wachezaji,
Kocha anaondolewa kutokana na perfomance mbovu

Mpaka sasa hakuna Kocha aliyetupa mafanikio Starz kama Hemed Morocco,
Tuwe wakweli, tuache unafiki na husda.

1. Chini ya Hemed tumeweza kufika robo fainali CHAN kwa mara ya kwanza na isivyo bahati tumetolewa na Morocco ambayo ni Taifa namba mbili kwa ubora wa ligi Africa

2. Tumefuzu Afcon 2024 kwa kufikisha point 10 kundini na last game tumewagonga Guinea na kuchukua point 4 (home & away) mbele yake yenye masupastaa wakubwa kama kina Guirassy, Sylla, Diakite nk

3. Mpaka sasa kwa jumla ya game kumi za hivi karibuni chini ya Hemed, Starz imeweza kushinda game SITA, draw mbili na tumepoteza game mbili tu

Sasa tafuta Kocha yoyote ndani ya miaka hii kumi awe mzawa au foreigner mwenye mafanikio kuliko Hemed ndani ya Starz.
Sifa ya kocha ni kuleta kombe, sio chini ya hapo.
 
Sifa ya kocha ni kuleta kombe, sio chini ya hapo.
Kama huna hoja piga kimya
Sasa kwa Starz hii ya wachezaji tulionao unatarajia tuchukue Kombe gani.. CHAN Afcon au World Cup..!??

Starz ishafundishwa na makocha wa kila aina na hakuna hata mmoja aliyetupa mafanikio haya aliyofikia Hemed Moroco..!!
 
Sitaki kuamini kwamba watanzania tumekuwa wasahaulifu na wachoyo wa fadhila namna hii. Hivi kuna kocha gani aliyeperform better akiwa na Taifa stars kumshinda Hemed Moroco?, anyway nahisi wakosoaji kinachowasumbua kama siyo udini basi ni tanganyika x zanzibar
 
Kama huna hoja piga kimya
Sasa kwa Starz hii ya wachezaji tulionao unatarajia tuchukue Kombe gani.. CHAN Afcon au World Cup..!??

Starz ishafundishwa na makocha wa kila aina na hakuna hata mmoja aliyetupa mafanikio haya aliyofikia Hemed Moroco..!!
Kama ukitafakari sana kwa kutumia akili zako utagundua kuwa tz inafanya vizuri chini ya Morocco kuliko wengine huko nyuma kutokana na factors zifuatazo:
1. Ligi imara kuliko zamani
2. Yanga, Simba, Azam, Singida imara kuliko zamani
3. Rais wa nchi kusukuma michezo kuliko marais waliopita
4. Idadi ya timu kuongezwa mashindano ya CAF, FIFA
5. Kushuka viwango vya mpira kwenye mataifa ya mpira (Magharibi, Kaskazini)
6. Uwekezaji mkubwa wa mo, GSM, AZAM, Mwigulu, nk
 
Back
Top Bottom