Mimiwikolo
JF-Expert Member
- Mar 28, 2015
- 218
- 19
Leo Lowassa yuko wp? vp updates, picha/video ziko wp?! Hivi hakuna official page ya kutupatia update kadri ya matukio yanavokwenda? Mbona CCM wameweza sana katika hilo kila dakika wanapost ishu za kampeni za Magufuri facebk kwe page yao, pia wanapage youtube, team ya kampeni ya UKAWA vp? Tumieni social media zaidi watu tuwe update na kinachoendelea binafsi mnanibore sana, tena sana. Mtu unahangaika kutafuta nini kinaendelea kwa Lowassa huko mikoani hupati. We are at the peak of the game and we are the leading team so far in the ground. So UKAWA campaign team you need to be active than any other player, don't sleep, don't sleep i repeat. By the way naomba anaejua official page ya kampeni za UKAWA/Lowassa fb, youtube au kwingineko ikiwamo hapa jf anijuze coz natafuta sipati. Page ya Team Lowassa yenyewe fb wanalala tu. Matukio ya jana ndo wanapost leo. Ukienda kwe blog/web ya chadema yenyewe hamna kitu, tutafika kweli kwa staili hii?! Naskia kuna whatsapp group ya UKAWA/Lowassa naomba mhusika ani add na mimi 0758397557.