Crew ya kampeni UKAWA mmelala sana upande wa publicity

Crew ya kampeni UKAWA mmelala sana upande wa publicity

C.K

JF-Expert Member
Joined
Nov 5, 2010
Posts
394
Reaction score
166
The way ninavyoona, crew ya kampeni UKAWA hasa upande wa IT na publicity kwe mitandao mmelala sana. Facebook, YouTube - picha na video za matukio yanayoendelea ni za kutafuta… hakuna. Hata kwe blog na web ya chadema kwa mfano hakuna updates. Mnalala sana, fanyeni publicity yakutosha – picha na video nyingi na habari husika za matukio yanayoendelea.

NB: Itambulike kuwa vyombo vya habari kwa sasa havitoi publicity na coverage stahili kwa UKAWA kama ilivyo kwa CCM. So crew ya kampeni UKAWA msipochukua nafasi ya uandishi wa habari nyie wenyewe na kufanya publicity stahili kama nilivyoeleza hapo juu itakula kwetu… UKAWA DAIMA…
 

Attachments

  • New Picture (39aa).jpg
    New Picture (39aa).jpg
    22.4 KB · Views: 468
Crew imekimbia ufisadi!
Bilioni 12 ale mbowe halafu bavicha wapige kampeni?
 
Nadhani ni strategic tuu, maana wanacheza na mazingira tuu, maana kampeni bado hivyo naona wanajiepusha kuleta mgogoro wowote utakao wakwamisha lengo lao.
 
  • Thanks
Reactions: C.K
ni kweli kabisa....tukio linatokea asubuhi lakini utakuta blog na hata web yao haina tukio mpaka siku inayo fata, Binafsi nashauri wajue wakati huu si wakulala,
na mtandao unanafasi kubwa sana kwa wakati huu kama chanzo kikubwa chakutoa habari hivyo waongeze bidii upande huo.
nadhan ni uzi wa pili kuzungumzia hili.
ukawa juuu zaidi.
 
  • Thanks
Reactions: C.K
Ni kweli kabisa hata millardayo anawashinda. Kupata video za mikutano ya UKAWA youtube ni ngumu sana mpaka mnatia kero jirekebisheni video nyingi watu wanazipata whatsap na sio youtube.
Mjirekebishe Aise wekeni videos za kutosha youtube na facebook.
 
Ni kweli kabisa hata millardayo anawashinda. Kupata video za mikutano ya UKAWA youtube ni ngumu sana mpaka mnatia kero jirekebisheni video nyingi watu wanazipata whatsap na sio youtube.
Mjirekebishe Aise wekeni videos za kutosha youtube na facebook.

Chadema media ----> facebook, youtube, chadema blog na web etc... wanahusika. Pia naomba anaejua group ya chadema whatsap naomba atuunganishe tafadhali. Anzisha thread hapa jf au fb tukupatie no. zetu. Lets be active katika hili i wish ningepewa usukani kuhusu publicity kwe mitandao. Wahusika wanabore sana aise
 
Natamani ningekuwa kwenye TEAM, nadhani wangeunda kwenye section ya IT team ya MULTIMEDIA publicity. Wapewe kazi maalum ya kufanya RECORDING, EDITING, PUBLISHING ONLINE AND IN SOCIAL MEDIA. Pia kutengeneza vipindi maalum vinavyoonyesha matukio, bila kusahau kuanza kutangaza sera zao kwenye maredio na TV. Nadhani matangazo ni muhimu na sio kusubiri hadi kwenye mkutano. Jamii lazima ifikiwe kwa kila njia.
WAFOCUS KWENYE HOLISTIC CAMPAIGN AMBAYO ITAWEZA KUFANYIKA KWA KILA RAIA POPOTE ALIPO.

KUSUBIRI TU HADI MAFURIKO NI STRATEGY FINYU.
 
  • Thanks
Reactions: C.K
Tumaini Makene na wenzake wote wafanye kazi yao.
Latest updates za videos nk zinahitajika.
Wanakuwa late IT-wise.
 
C.K tuma PM kwa yegella akuunganishe na M4C PAMOJA DAIMA whatsup group,hautajutia
 
Last edited by a moderator:
CDM original kazi ipo dhidi ya CDM masrahi .. na bado mpaka tuheshimiane
 
Tangu Dada yetu Regia atutoke naona CDM upande wa Mtandao wanadorora sana. Jipangeni mnatuangusha.
 
Back
Top Bottom