Timu ya kampeni ya Steven Wassira Masatu

OgwaluMapesa

JF-Expert Member
May 24, 2008
10,942
428
Steven Wassira
Kwa hakika huyu ni mwanasiasa asiye mgeni katika siasa za Nchi ya Tanzania. Siasa zake zimetoka mbali tokea awamu ya kwanza ya uongozi katika nchi hii. Ni mzaliwa na mwenyeji wa mkoa wa Mara katika wilaya ya Bunda. Kwa siasa za awamu hii mheshimiwa Wassira amekuwa mstari wa mbele zaidi kwa matusi na kukashifu wapinzani akisahau kuwa katika siasa za karne hii makubaliano na maelewano ni muhimu zaidi kuliko ubabe. Ni mwanasiasa aliye jasiri kwa kweli ingawa ujasiri wake daima usukumwa kwa hisia na matukio (Mchambuzi moja amewai kuniambia kuwa Wassira ni mtu wa kutawaliwa na emotions and not helenic- helenic likiwa na maana ya reasoning).

Mheshimiwa huyu anakumbana na changamoto kuu mbili katika mchakato wote wa kutafuta mgombea ndani ya CCM. Mosi ni kitendo chake cha kuhusishwa na rushwa na kisha kuhukumiwa katika uchaguzi wa ubunge jimbo la Bunda sio tu ni doa bali ni doa kubwa sana katika siasa za CCM. Kama mnakumbuka katika hiyo kesi mheshimiwa huyu alitiwa hatiani na mahakama na kisha kufungiwa miaka 5 kutojihusisha na siasa kabisa (Rejea 1995 election and 1996 verdict).

Issue ya pili ni huyu mheshimiwa kuwa na rekodi mbaya ya kuhama chama cha mapinduzi na kwenda NCCR mageuzi, kutokana na miiko na miongozo ya CCM ni kitu ambacho kamwe hakiwezekani kutokea kwa kumteuwa mtu ambaye alishahama chama na kisha kurudi. Na hii ndicho kitu kinachomkumba hata mwenyekiti wa bunge la katiba bwana Samwel Sita kwa kuanzisha chama cha CCJ na alivyoona mambo mazito alirudi CCM (Rejea Gazeti la mwananchi August 2010, maelezo ya Mpendazoe). Katika uanzishwaji wa chama hicho na kutokana na maelezo ya Mpendazoe, wengine ni Sita, Nape, Makonda, Lembeli, Seleli wakipata ufadhili mkubwa kutoka kwa tajiri namba mbili aliyetoka juzi juzi katika jarida la Forbes. Kama hayo mambo mawili hayatazingatiwa na chama cha mapinduzi; mheshimiwa Wassira anaweza kubebwa kwa kupewa fadhila na JK kwa maana ya kuwa amekuwa nguzo muhimu sana katika hii awamu, iwe serikalini, bungeni na hata kwa wananchi Wasira amekuwa akimsaidia JK kwa ukaribu sana, ila kumbuka ikifikapo kipindi cha uchaguzi wajumbe wanakuambia chama sii cha mtu moja na siasa za zidumu fikra za mwenyekiti zilipitwa na wakati sana sana (Nilipata kufanya mahojiano na kada maarufu na mjumbe wa CC alipata kuniambia….Bwana mdogo usifikiri enzi hizi bado kuna yale mambo ya zidumu fikra za mwenyekiti, mimi nakuambia nitakuwepo kwenye cc, nitakuwa mbogo, na sitokubali upendeleo wa aina yoyote, na sio mimi tu tuko wengi sema tu kwa sasa tumekaa kimya ili tusije tukashugulikiwa siunajua tena mzeeee haya mambo usimchokoze mkuu wa kaya mapema ila wakati ule ukifika itakuwa hatari).

Nyambari Nyangwine
Huyu ni mwanachama wa CCM, na ni mbunge wa Tarime kwa sasa. Nyangwine alipata umaarufu enzi hizo alipooanza kutoa pamphlet/booklet kwenye masomo ya Arts (kwa wale wa Arts nafkiri wananielewa hapa), hivyo vii booklet kwa namna moja au nyingine zilisaidia sana katika kuraisisha usomaji ila kwa sasa pamoja na sababu zingine za kuwa na division 5 na zero nyingi uchangiwa zaidi na hizi booklets kwani zimekosa kiwango kabisa watoto wa mjini wanakuambia havina TBS kabisa (Rejea kauli ya Dr Ndalichako- kwa sasa Professor tarehe 23/5/2011). Katika kauli hiyo kwa namna moja au nyingine hivi vii booklet hazikuonyesha kama vina viwango bali alichokuwa anafanya ni kucopy na kupest kwenye Wikipedia (kumbuka Wikipedia sio real source na ndio mana vyuoni saizi wanaambiwa wasifanye reference kupitia Wikipedia bali watumia JSTOR). Yeye ndiyo kampeni meneja wa hii kambi ya Wassira.. umuhimu wake ni kuwa financer mkubwa wa hii kambi, kwani amejaliwa kuwa na viela vinavyosaidia kuendesha operation ya bwana mkubwa, amekuwa akizunguka huku na kule ingawa weakness yake kubwa ni kukosa kujiamini, ni mtu ambaye hajiamini kabisa, na ukimchallenge kidogo tu basi anakosa uelekeo hata kama alikuwa na hoja kubwa na nzito..

Mama Kabaka
Huyu ni waziri wa vijana na ajira. Ni mwenyeji wa mkoa wa mara. Kuanzia awe waziri kwa sisi vijana tunaweza kusema hakuna kitu tangible alicholeta huyu mama hasa katika kusaidia swala la kuajiriwa au kuweka mazingira mazuri kama wizara ili watu waweze kupata fursa za kujiajiri. Ni mama ambaye ni mpole sana hata kwenye familia, hana makuu, ni mpenda familia. Ingawa ni waziri ambaye mpaka sasa hajaona tatizo la ajira pamoja na tatizo hilo kuwa janga katika Taifa, ajira ni tatizo lililopigiwa kelele na wananchi na viongozi machampion wakumbwa wakiwa Lowassa na Mbowe (Rejea hansard kauli za Mbowe na Lowassa, rejea mikutano ya Lowassa).

Napata shida sana kama huyu waziri mpaka sasa haoni hili tatizo, nampa mshauri atembee hapa JF jukwaa la ajira, atembee zoomtanzania, atembee kazi ajira website, namshauri atembee mitaa ya sinza, tandale, mbagala ili aone vijiwe vilivyo vingi hii sio kwa sababu ya vijana kupenda kukaa vijiweni, ila ni kwa sababu hawana jinsi na hawana fursa, tunatambua inaweza isiwe kazi moja kwa moja ya wizara hii ila ndio msingi wa kuwepo wizara hii, hivyo lazima wizara itende kwa mujibu wa msingi wake kuanzishwa. Umuhimu wake katika hii kambi ni kama coordinator kwa wakina mama ili kwa namna moja au nyingine waweze kumuunga Wassira.

Nimrod Mkono
Bila shaka wengi wanamjua huyu mheshimiwa. Ni mbunge wa ccm jimbo la musoma vijijini. Katika hii kambi amekuwa msaada mkubwa sana katika kuwezesha operations mbali mbali kama munavyotambua amejaliwa kuwa na fedha kwa kiasi kikubwa. Mkono hivi karibuni amekuwa akilalamikiwa na Nyangwine kuwa amekuwa kama haeleweki katika hii kambi, shutuma ambazo hazijatolewa maelezo mpaka namaliza kuandika uzi huu….Huyu bwana amekuwa akihusishwa na upataji ela kwa njia ya unjanja ujanja (watoto wa mjini wanasema upigaji) kwa mshirika mbali mbali kama NBC, iliyokuwa NASACO, na TANESCO (Rejea press conference ya Hayati wakili Maira na Marando, habari maelezo). Umuhimu wake na kazi alizopangiwa hazikuweza kuelezwa mara moja kwani kama nilivyosema hapo juu amekuwa akishutumiwa kuwa ni mtu wa kutanga tanga.

Rweikiza
Huyu ni mbunge wa moja ya jimbo kutoka kagera. Amekuwa kwenye hii kambi kwa muda mrefu na ni moja wa waanziilishi. Amekuwa ni mwanasiasa mfanya biashara ambaye amejaliwa kumiliki shule kadhaa za St. (ziki Kimara). Ni mtu ambaye hana wafuasi hata kidogo katika siasa za kitaifa kwani amekuwa mtu wa kujisikia sana, mtu wa dharau na asiye weza kujichanganya na watu wa kada ya chini kama tunavyojua 94% ya ccm ni masikini, hivyo ni jambo lililo wazi kuwa hataweza siasa za kujichanganya na kada mbali mbali kama anazofanya Kinana.

Zenda Daniel
Huyu ni kijana aliyehitimu UDOM juzi juzi. Sifa yake kubwa ni kuwa kijana wa kuganga njaa katika kambi mbali mbali, alianza kwa kina Riz, akaenda kwa Edo, akaenda kwa Ngeleja na sasa kahamia kwa Wassira. Ni kijana asiyekuwa na ushawishi hata kidogo kwa vijana wenzake kutokana na vijana wengi kujua tabia yake hiyo ila amekuwa akimdanganya Wassira kuwa ana nguvu sana. Yeye ndio mratibu wa hii kambi kwa upande wa vijana, amesikika akilalamika mara kadha kuwa hii kambi Nyambari anabana ela sana kitu ambacho anapata wakati mgumu sana, wiki mbili zilizopita alitishia kuhama katika hii kambi baada ya Nyangwine kumnyima shilling laki mbili 200,000/= kwa jili ya kodi kitu ambacho alichukia sana kwa baati nzuri alimfata mzee Wassira na kisha kumpa hiyo fedha na hatimaye aliweza kulipa kodi ya nyumba. Alipokuwa UDOM aliweza kupata umaarufu sana kwa viongozi kutokana na tabia yake ya udalali wa mademu (wasichana, wanafunzi wa udom) kwa waheshimiwa viongozi (kitendo kinachoitaji kukemewa kwa nguvu zote ili tuweze kuwaokoa dada na wadogo zetu).

NB:
Nilipokuwa nafanya utafiti katika hii kambi nilicheka at the same time kusikitika sana. Ni katika hii kambi ndio nimeona asilimia 95% ya timu members wa kutoka mkoa moja. Sitaki kusema ni jambo baya kupewa sapoti na watu wa nyumbani ila kwa tafsiri hii tunaanza kuona viashiria vya lile jambo kubwa alilowai kulikemea Mwalimu Nyerere. Mwalimu aliwai kukemea ukabila/undugu in this case ukanda pamoja na udini.

MWISHO
Leo nimefikia mwisho wa kufanya uchambuzi wa kina. Kwa waliokuwa wanajua au hawajui nini maana ya hii kitu, naweza kusema nawashukuru sana kwa michango yenu, imenisaidia sana kama njia moja ya ku collect data nilizokuwa naitaji.
January Makamba, Kigwangala, Ngeleja kwa kweli mtanisamehe sitokuwa na huo muda na sitaki kuupoteza kama nyie mnavyotupotezea muda, na with due respect muda huo nitakuwa naangalia katuni ya Tom and Jerry, nikimaliza katuni ya Dora then namalizia na Spider man kuliko kuwajadili.
Ocampo four.
 
Ocampo four.[/QUOTE
Ni vigumu kuamini yaani timu yake watu wa ziwani pamoja na uzoefu mkubwa katika siasa.Sio kweli
 
Steven Wassira

January Makamba, Kigwangala, Ngeleja kwa kweli mtanisamehe sitokuwa na huo muda na sitaki kuupoteza kama nyie mnavyotupotezea muda, na with due respect muda huo nitakuwa naangalia katuni ya Tom and Jerry, nikimaliza katuni ya Dora then namalizia na Spider man kuliko kuwajadili.
Ocampo four.

hapa ndipo umenifurahisha,nimecheka kweli.ila hata timu hii umepoteza muda,labda jina la Wassira lilikuisha ukajua kuna kitu!
 
Charity begin at Home, watu wa nyumbani wasipokupa support nani atakupa support?. Wassira kuanza kupata support nyumbani ni dalili nzuri na ni mwanzo wa kupanua wigo wake wa mtandao.

Umeandika kwamba mpaka mkuu wa kaya anampigia kifua Wassira, je huyo naye ni kutoka Mara?.

Ni ukweli usiopingika hakuna mtu msafi ndani ya CCM zaidi ya Wassira kwa sasa. Kuhamia NCCR mageuzi siyo kashfa hata kidogo bali ni ukomavu wa kisiasa.
Wassira ni nguzo muhimu sana kwa Chama tawala na Serikali iliyopo madarakani. Ana uwezo mkubwa wa kujenga hoja na kupangua hoja za wapinzani. Ni mtu pekee ambaye anaweza kujibu makombora ya wapinzani kwa ufasaha zaidi.

CCM itashinda uchaguzi ujao, lakini itashinda kirahisi zaidi kama Wassira atapeperusha bendera ya CCM.
 
Wewe Kijana nimeamini ni mbumbumbu kuliko nilivyo kudhania mwanzoni, hakika hapa umejichanganya.
 
Steven Wassira
Kwa hakika huyu ni mwanasiasa asiye mgeni katika siasa za Nchi ya Tanzania. Siasa zake zimetoka mbali tokea awamu ya kwanza ya uongozi katika nchi hii. Ni mzaliwa na mwenyeji wa mkoa wa Mara katika wilaya ya Bunda. Kwa siasa za awamu hii mheshimiwa Wassira amekuwa mstari wa mbele zaidi kwa matusi na kukashifu wapinzani akisahau kuwa katika siasa za karne hii makubaliano na maelewano ni muhimu zaidi kuliko ubabe. Ni mwanasiasa aliye jasiri kwa kweli ingawa ujasiri wake daima usukumwa kwa hisia na matukio (Mchambuzi moja amewai kuniambia kuwa Wassira ni mtu wa kutawaliwa na emotions and not helenic- helenic likiwa na maana ya reasoning).

Mheshimiwa huyu anakumbana na changamoto kuu mbili katika mchakato wote wa kutafuta mgombea ndani ya CCM. Mosi ni kitendo chake cha kuhusishwa na rushwa na kisha kuhukumiwa katika uchaguzi wa ubunge jimbo la Bunda sio tu ni doa bali ni doa kubwa sana katika siasa za CCM. Kama mnakumbuka katika hiyo kesi mheshimiwa huyu alitiwa hatiani na mahakama na kisha kufungiwa miaka 5 kutojihusisha na siasa kabisa (Rejea 1995 election and 1996 verdict).

Issue ya pili ni huyu mheshimiwa kuwa na rekodi mbaya ya kuhama chama cha mapinduzi na kwenda NCCR mageuzi, kutokana na miiko na miongozo ya CCM ni kitu ambacho kamwe hakiwezekani kutokea kwa kumteuwa mtu ambaye alishahama chama na kisha kurudi. Na hii ndicho kitu kinachomkumba hata mwenyekiti wa bunge la katiba bwana Samwel Sita kwa kuanzisha chama cha CCJ na alivyoona mambo mazito alirudi CCM (Rejea Gazeti la mwananchi August 2010, maelezo ya Mpendazoe). Katika uanzishwaji wa chama hicho na kutokana na maelezo ya Mpendazoe, wengine ni Sita, Nape, Makonda, Lembeli, Seleli wakipata ufadhili mkubwa kutoka kwa tajiri namba mbili aliyetoka juzi juzi katika jarida la Forbes. Kama hayo mambo mawili hayatazingatiwa na chama cha mapinduzi; mheshimiwa Wassira anaweza kubebwa kwa kupewa fadhila na JK kwa maana ya kuwa amekuwa nguzo muhimu sana katika hii awamu, iwe serikalini, bungeni na hata kwa wananchi Wasira amekuwa akimsaidia JK kwa ukaribu sana, ila kumbuka ikifikapo kipindi cha uchaguzi wajumbe wanakuambia chama sii cha mtu moja na siasa za zidumu fikra za mwenyekiti zilipitwa na wakati sana sana (Nilipata kufanya mahojiano na kada maarufu na mjumbe wa CC alipata kuniambia….Bwana mdogo usifikiri enzi hizi bado kuna yale mambo ya zidumu fikra za mwenyekiti, mimi nakuambia nitakuwepo kwenye cc, nitakuwa mbogo, na sitokubali upendeleo wa aina yoyote, na sio mimi tu tuko wengi sema tu kwa sasa tumekaa kimya ili tusije tukashugulikiwa siunajua tena mzeeee haya mambo usimchokoze mkuu wa kaya mapema ila wakati ule ukifika itakuwa hatari).

Nyambari Nyangwine
Huyu ni mwanachama wa CCM, na ni mbunge wa Tarime kwa sasa. Nyangwine alipata umaarufu enzi hizo alipooanza kutoa pamphlet/booklet kwenye masomo ya Arts (kwa wale wa Arts nafkiri wananielewa hapa), hivyo vii booklet kwa namna moja au nyingine zilisaidia sana katika kuraisisha usomaji ila kwa sasa pamoja na sababu zingine za kuwa na division 5 na zero nyingi uchangiwa zaidi na hizi booklets kwani zimekosa kiwango kabisa watoto wa mjini wanakuambia havina TBS kabisa (Rejea kauli ya Dr Ndalichako- kwa sasa Professor tarehe 23/5/2011). Katika kauli hiyo kwa namna moja au nyingine hivi vii booklet hazikuonyesha kama vina viwango bali alichokuwa anafanya ni kucopy na kupest kwenye Wikipedia (kumbuka Wikipedia sio real source na ndio mana vyuoni saizi wanaambiwa wasifanye reference kupitia Wikipedia bali watumia JSTOR). Yeye ndiyo kampeni meneja wa hii kambi ya Wassira.. umuhimu wake ni kuwa financer mkubwa wa hii kambi, kwani amejaliwa kuwa na viela vinavyosaidia kuendesha operation ya bwana mkubwa, amekuwa akizunguka huku na kule ingawa weakness yake kubwa ni kukosa kujiamini, ni mtu ambaye hajiamini kabisa, na ukimchallenge kidogo tu basi anakosa uelekeo hata kama alikuwa na hoja kubwa na nzito..

Mama Kabaka
Huyu ni waziri wa vijana na ajira. Ni mwenyeji wa mkoa wa mara. Kuanzia awe waziri kwa sisi vijana tunaweza kusema hakuna kitu tangible alicholeta huyu mama hasa katika kusaidia swala la kuajiriwa au kuweka mazingira mazuri kama wizara ili watu waweze kupata fursa za kujiajiri. Ni mama ambaye ni mpole sana hata kwenye familia, hana makuu, ni mpenda familia. Ingawa ni waziri ambaye mpaka sasa hajaona tatizo la ajira pamoja na tatizo hilo kuwa janga katika Taifa, ajira ni tatizo lililopigiwa kelele na wananchi na viongozi machampion wakumbwa wakiwa Lowassa na Mbowe (Rejea hansard kauli za Mbowe na Lowassa, rejea mikutano ya Lowassa).

Napata shida sana kama huyu waziri mpaka sasa haoni hili tatizo, nampa mshauri atembee hapa JF jukwaa la ajira, atembee zoomtanzania, atembee kazi ajira website, namshauri atembee mitaa ya sinza, tandale, mbagala ili aone vijiwe vilivyo vingi hii sio kwa sababu ya vijana kupenda kukaa vijiweni, ila ni kwa sababu hawana jinsi na hawana fursa, tunatambua inaweza isiwe kazi moja kwa moja ya wizara hii ila ndio msingi wa kuwepo wizara hii, hivyo lazima wizara itende kwa mujibu wa msingi wake kuanzishwa. Umuhimu wake katika hii kambi ni kama coordinator kwa wakina mama ili kwa namna moja au nyingine waweze kumuunga Wassira.

Nimrod Mkono
Bila shaka wengi wanamjua huyu mheshimiwa. Ni mbunge wa ccm jimbo la musoma vijijini. Katika hii kambi amekuwa msaada mkubwa sana katika kuwezesha operations mbali mbali kama munavyotambua amejaliwa kuwa na fedha kwa kiasi kikubwa. Mkono hivi karibuni amekuwa akilalamikiwa na Nyangwine kuwa amekuwa kama haeleweki katika hii kambi, shutuma ambazo hazijatolewa maelezo mpaka namaliza kuandika uzi huu….Huyu bwana amekuwa akihusishwa na upataji ela kwa njia ya unjanja ujanja (watoto wa mjini wanasema upigaji) kwa mshirika mbali mbali kama NBC, iliyokuwa NASACO, na TANESCO (Rejea press conference ya Hayati wakili Maira na Marando, habari maelezo). Umuhimu wake na kazi alizopangiwa hazikuweza kuelezwa mara moja kwani kama nilivyosema hapo juu amekuwa akishutumiwa kuwa ni mtu wa kutanga tanga.

Rweikiza
Huyu ni mbunge wa moja ya jimbo kutoka kagera. Amekuwa kwenye hii kambi kwa muda mrefu na ni moja wa waanziilishi. Amekuwa ni mwanasiasa mfanya biashara ambaye amejaliwa kumiliki shule kadhaa za St. (ziki Kimara). Ni mtu ambaye hana wafuasi hata kidogo katika siasa za kitaifa kwani amekuwa mtu wa kujisikia sana, mtu wa dharau na asiye weza kujichanganya na watu wa kada ya chini kama tunavyojua 94% ya ccm ni masikini, hivyo ni jambo lililo wazi kuwa hataweza siasa za kujichanganya na kada mbali mbali kama anazofanya Kinana.

Zenda Daniel
Huyu ni kijana aliyehitimu UDOM juzi juzi. Sifa yake kubwa ni kuwa kijana wa kuganga njaa katika kambi mbali mbali, alianza kwa kina Riz, akaenda kwa Edo, akaenda kwa Ngeleja na sasa kahamia kwa Wassira. Ni kijana asiyekuwa na ushawishi hata kidogo kwa vijana wenzake kutokana na vijana wengi kujua tabia yake hiyo ila amekuwa akimdanganya Wassira kuwa ana nguvu sana. Yeye ndio mratibu wa hii kambi kwa upande wa vijana, amesikika akilalamika mara kadha kuwa hii kambi Nyambari anabana ela sana kitu ambacho anapata wakati mgumu sana, wiki mbili zilizopita alitishia kuhama katika hii kambi baada ya Nyangwine kumnyima shilling laki mbili 200,000/= kwa jili ya kodi kitu ambacho alichukia sana kwa baati nzuri alimfata mzee Wassira na kisha kumpa hiyo fedha na hatimaye aliweza kulipa kodi ya nyumba. Alipokuwa UDOM aliweza kupata umaarufu sana kwa viongozi kutokana na tabia yake ya udalali wa mademu (wasichana, wanafunzi wa udom) kwa waheshimiwa viongozi (kitendo kinachoitaji kukemewa kwa nguvu zote ili tuweze kuwaokoa dada na wadogo zetu).

NB:
Nilipokuwa nafanya utafiti katika hii kambi nilicheka at the same time kusikitika sana. Ni katika hii kambi ndio nimeona asilimia 95% ya timu members wa kutoka mkoa moja. Sitaki kusema ni jambo baya kupewa sapoti na watu wa nyumbani ila kwa tafsiri hii tunaanza kuona viashiria vya lile jambo kubwa alilowai kulikemea Mwalimu Nyerere. Mwalimu aliwai kukemea ukabila/undugu in this case ukanda pamoja na udini.

MWISHO
Leo nimefikia mwisho wa kufanya uchambuzi wa kina. Kwa waliokuwa wanajua au hawajui nini maana ya hii kitu, naweza kusema nawashukuru sana kwa michango yenu, imenisaidia sana kama njia moja ya ku collect data nilizokuwa naitaji.
January Makamba, Kigwangala, Ngeleja kwa kweli mtanisamehe sitokuwa na huo muda na sitaki kuupoteza kama nyie mnavyotupotezea muda, na with due respect muda huo nitakuwa naangalia katuni ya Tom and Jerry, nikimaliza katuni ya Dora then namalizia na Spider man kuliko kuwajadili.
Ocampo four.

Wassira ni Jembe, tena nimegundua wewe humjui hata robo, Nyambari sio kampeni meneja wala hajawahi kuwa, huyu Mheshimiwa anajibeba mwenyewe kwa sifa na uwezo alionao.
 
ww ndo hujui,kampen meneja wa War-Hassira ni Esta Bu-Ulaya
 
Back
Top Bottom