Timu ya kampeni ya Dr. Magufuli yasambaratika

Nimeambiwa kuwa ile ya kampeni ya CCM iliyoundwa kwa kumsaidia Dr. Magufuli na Mama Samia imesambaratika jana usiku baada ya kikao cha kimkakati. Nimearifiwa na mmoja wa wajumbe wa timu hiyo kuwa kusambaratika kwa timu hiyo kunatokana na sababu mbalimbali. Wapo wajumbe waliosusa baada ya kuona wananchi hawaelewi somo la CCM na kuielewa Ilani. Wananchi wamekuwa hawaelewi wanachoambiwa na sasa wajumbe wanaishiwa cha kusema.

Wapo wajumbe waliosusa kwakuwa wanatuhumiana, na hata na Dr. Magufuli mwenyewe, kuwa ni popo wa kisiasa. Wanaunga mkono harakati za wapinzani kwa kificho na kumharibia Dr. Magufuli majukwaani kwa kutamka maneno ya kukwaza na kukera yanayochochea hasira za wananchi dhidi ya wagombea wa CCM wa ngazi za Urais, Ubunge na Udiwani.

Wapo wajumbe waliosusa kutokana na kutotimiziwa matakwa yao hasa ya malipo kwa kila siku wanayoifanyia kazi. Wajumbe hao wamesema kuwa hawana muda wa kusubiri kulipwa baadaye kwakuwa uchaguzi ni bahati nasibu na lolote laweza kutokea. Wanasisitiza kulipwa marupurupu yao sasa kwa mujibu wa makubaliano ya kichama na kutoahidiwa kulipwa baada ya uchaguzi.

Wapo wajumbe waliosusa kwakuwa hawapewi uzito na umaarufu kama ilivyotarajiwa. Wanamlaumu Dr. Magufuli na viongozi waandamizi chamani, kwa mfano, kumuamini sana Abdallah Bulembo ambaye hana hadhi kichama, kisera na kihela kupewa nafasi ya kutawala majukwaa kama afanyavyo sasa. Wanalalama kuwa watu maarufu wamewekwa kando na sasa wanaanza kuota utando.

Sasa timu imesambaratika. Dr. Magufuli yuko njiapanda kikampeni. Itambidi kupambana kiume ili kuendelea kujieleza mbele ya wananchi. Apambane kivyake sasa na watakaobaki naye!

Mzee Tupatupa wa Lumumba, Dar es Salaam

Ila Mzee wangu waambie ni kosa la jinai kununua kitambulisho cha mpiga kura aka VICHINJIO,wewe Mzee wangu ni Mwanasheria,waambie hilo ni kosa.Wanamnyima haki mpiga kura???

Pili waeelze pia,wanatia dosari hata hiyo kampeni ya MAKOMEO maana RUSHWA sasa imehalalishwa.Jamani watanzania tunaonekana hatujui tunahitaji nini maana kila kona ni RUSHWA tu.

Jamani waambie RUSHWA ni ADUI wa HAKI.
 
CCM imechokaa....
Wananchi wameichoka!
CCM imeshindwa kukidhi mahitaji ya Wananchi.
CCM inaendekeza majivuno, matusi, vijembe na maneno ya hovyo ktk majukwaa ya Campaigns
 
Kama lowasa ameshindwa kukontrol kinyesi chake kitoke wakati gan na wakati gan kisitoke ataweza kweli kuzuia gesi yetu isitoke
Hahaha

Unaevidence ndugu yangu??Kama huna mtu akiamua kukushtaki utatoka kweli???Hebu imagine Lowassa ni baba yako utakubali adhalilishwe kwa kiasi hiki???Hivi watu mmekosa kabisa sera mnakwenda kwenye matusi zaidi???

Tufike mahali tupime lugha zetu,aliyesema nafuu Lowassa ameondoka maana angetufia tunamuona huyo leo anabebwa anatangulia kabla ya Lowassa.Tuche dhihaka hazijengi zinabomoa undugu wetu.

Tukaripie matusi,tushindane kwa hoja na si vihoja.Huyu Mzee ana watoto,anafamilia ,ana marafiki,ana ndugu,ana mke,kuna jumuia za kimataifa bado zinamheshimu.Tuheshimiane jamani.Juzi nimeona meseji ya binti wa Kenya inachefua,tunapodhalilishana hatujengi tunajibomoa kama Taifa.

Imagine kwamba Lowassa amekuwa RAIS wa JMT tunafanyaje kwenye jumuia zetu za kimataifa,kama anaenda Kenya,hivi hamuoni litakuwa swali la Kwanza kuulizwa eti ulijichafua kwenye kampeni??

Je amemdhalilisha Lowassa au Taifa letu???Tuache hizi,matusi hayafai.Kuna maisha baada ya UCHAGUZI na SIASA.
 
Kazikwanza hauna hoja ya Msingi Mbona huyo Dr. Slaa yuko CCM na alikuwa anajalibu kutudanganya na husemi chochote.

Dr.Slaa alitukanwa sana na CCM mpaka kuitwa Padre Mzinifu nk nk,lakini leo anaitwa SHUJAA,sijaona tofauti na kilichofanywa kwa pande zote mbili.
 
Naye aliitwa mgonjwa mkono mbovu, babu aliyechoka, mzinzi leo amekuwa shujaa wa wana Lumumba! tukutane oct 25...
 
Unaevidence ndugu yangu??Kama huna mtu akiamua kukushtaki utatoka kweli???Hebu imagine Lowassa ni baba yako utakubali adhalilishwe kwa kiasi hiki???Hivi watu mmekosa kabisa sera mnakwenda kwenye matusi zaidi???

Tufike mahali tupime lugha zetu,aliyesema nafuu Lowassa ameondoka maana angetufia tunamuona huyo leo anabebwa anatangulia kabla ya Lowassa.Tuche dhihaka hazijengi zinabomoa undugu wetu.

Tukaripie matusi,tushindane kwa hoja na si vihoja.Huyu Mzee ana watoto,anafamilia ,ana marafiki,ana ndugu,ana mke,kuna jumuia za kimataifa bado zinamheshimu.Tuheshimiane jamani.Juzi nimeona meseji ya binti wa Kenya inachefua,tunapodhalilishana hatujengi tunajibomoa kama Taifa.

Imagine kwamba Lowassa amekuwa RAIS wa JMT tunafanyaje kwenye jumuia zetu za kimataifa,kama anaenda Kenya,hivi hamuoni litakuwa swali la Kwanza kuulizwa eti ulijichafua kwenye kampeni??

Je amemdhalilisha Lowassa au Taifa letu???Tuache hizi,matusi hayafai.Kuna maisha baada ya UCHAGUZI na SIASA.
Tuhuma za kujinyea zilishushwa na mtu anayedai alikuwa karibu sana na lowasa. Ni muda sasa umepita, kwa nini lowasa asimshitaki huyo ndugu kama unavyotaka? Salim alisema uongo ukiachwa muda mrefu hugeuka kuwa ukweli. Ukimya wa lowasa katika hili si tu unamdhalilisha yeye mwenyewe, ni fedheha hata kwa familia yake.
 
Mbona hilo liko wazi. Kampeni za magufuri ni tofauti na utamaduni wa ccm, yeye anailalamikia serikali iliyopo madarakani kwa kutotimiza wajibu wake na kuahidi wananchi 'mahakama ya mafisadi'. wanaoambatana naye wanajiuliza hao mafisadi ni nani kama si wao na rais wao, swali gumu zaidi ni hiyo ahadi ya mahakama anaitoa kifungu kipi cha ilani yao na katiba.

Zaidi msemo wa Tanzania ya magufuri unawachanganya sana...hawamwelewi....na mbaya zaidi kushindwa kumnadi Chenge ni mojapo ya tatizo la kampeni hizo.....ukweli hawafiki mbali....

Mkanganyiko huo ulishatabiliwa na lazime utimie.......

Mkuu sio kosa tukiwa wasomaji wa Ilani za vyama vinavyoomba ridhaa kwa wananchi, kwenye Ilani ya chama unachokiponda mwanzoni kabisa Kwenye kipengele cha VITA DHIDI YA RUSHWA namba 12 Ccm wameeleza suala la Mahakama Maalum kwa ajili ya makosa ya rushwa na Uhujumu uchumi liko wazi.

Tupunguze hasira na jazba tusome Ilani zote ili tutoe michango halisi kuliko uongo, kama jambo hulijui unapotezea sio dhambi!Watanzania tusome Ilani za vyama ili tutoe hukumu kwa haki.
 
Najiuliza hivi wanaCCM wa humu jukwaan trh29 oct mtakuwepo?? au mtabadil ID??
maana naona upepo unakovuma siko kabisa.
 
Naye aliitwa mgonjwa mkono mbovu, babu aliyechoka, mzinzi leo amekuwa shujaa wa wana Lumumba! tukutane oct 25...

Usisahau CDM walimwita na kuimba Rais Rais Rais shujaa wetu then baadaye wakageuka Yuda Eskariote,Msaliti, mwizi!!! hawa HAWA daaaaa!
 
madhalimu tu hao..
walikataa maoni ya Watanzania 351664 kwenye mchakato wa rasimu ya katiba..
wamekubali maoni ya watu 1848 TWAWEZA..
utawala ukiwa dhalimu basi maovu na dhuluma hushamiri..
 
Tuhuma za kujinyea zilishushwa na mtu anayedai alikuwa karibu sana na lowasa. Ni muda sasa umepita, kwa nini lowasa asimshitaki huyo ndugu kama unavyotaka? Salim alisema uongo ukiachwa muda mrefu hugeuka kuwa ukweli. Ukimya wa lowasa katika hili si tu unamdhalilisha yeye mwenyewe, ni fedheha hata kwa familia yake.

Nimeongea na watu waliokaribu naye wamesema si kweli kabisa.Ila sababu ya CHUKI iliyojikita ndiyo maana badala ya kubase kwenye SERA tumerukia kwenye kudhalilishana.

Hivi hata kama ingekuwa kweli Imagine ni baba yako ungemtangaza kila kona mpka nje ya mipaka yetu jamani???

Jamani kuna maisha baada ya uchaguzi.Tumemuona mama Celina Kombani akimtangulia mtu aliyedhihaki kuwa ni MAITI afadhali hajafia kwako akafie CHADEMA,leo Mama Kombani yuko wapi???

Tujenge hoja na si kudhalilishana.Hatuwezi kujua pamoja na yote yanayofanywa na CCM wakajaribu kuchakachua kura badala yake zikaongezeka za Lowassa sijui tutaangalianaje,maana kwa Mungu chochote chawezekana.

Tunahitaji sera na si matusi.Mfano Bulembo alivyosema CCM hawahitaji KURA za watu wa KASKAZINI,hivi amepiga hesabu kuna wakaskazini wangapi Tanzania???Anayoidadi kamili??

Je haoni ubaguzi huu utaiathiri hata CCM ambao watasema kwanini tuendelee klubaguliwa ameshasema hawahitaji kura za wakaskazini,inakuwaje???Hakika nilitegema Lubuva alisemee na hili ila sijashangaa maana NEC ni Tawi la CCM na hili alilisema Nape.
 
hata wananchi walio muitikia msukuma walimsingizia 💩💩💩💩😷
 
Unaevidence ndugu yangu??Kama huna mtu akiamua kukushtaki utatoka kweli???Hebu imagine Lowassa ni baba yako utakubali adhalilishwe kwa kiasi hiki???Hivi watu mmekosa kabisa sera mnakwenda kwenye matusi zaidi???

Tufike mahali tupime lugha zetu,aliyesema nafuu Lowassa ameondoka maana angetufia tunamuona huyo leo anabebwa anatangulia kabla ya Lowassa.Tuche dhihaka hazijengi zinabomoa undugu wetu.

Tukaripie matusi,tushindane kwa hoja na si vihoja.Huyu Mzee ana watoto,anafamilia ,ana marafiki,ana ndugu,ana mke,kuna jumuia za kimataifa bado zinamheshimu.Tuheshimiane jamani.Juzi nimeona meseji ya binti wa Kenya inachefua,tunapodhalilishana hatujengi tunajibomoa kama Taifa.

Imagine kwamba Lowassa amekuwa RAIS wa JMT tunafanyaje kwenye jumuia zetu za kimataifa,kama anaenda Kenya,hivi hamuoni litakuwa swali la Kwanza kuulizwa eti ulijichafua kwenye kampeni??

Je amemdhalilisha Lowassa au Taifa letu???Tuache hizi,matusi hayafai.Kuna maisha baada ya UCHAGUZI na SIASA.

#wanachato#msukuma
 
Najiuliza hivi wanaCCM wa humu jukwaan trh29 oct mtakuwepo?? au mtabadil ID??
maana naona upepo unakovuma siko kabisa.

Hata Sisi Tutakuuliza The Same Question Ukiwa Wewe Mwana Ukawa,je Tarehe 29 Oct Mtabadili Ids Au Mtaondoka Kabisa Mitandaoni?
 
Na hii ni gud niuz...
Hawezi fungua mahakama ya mafisadi bila kujitenga na mafisadi...
Hilo ndio jeshi la mtu mmoja....
Subirini mabadiliko toka ndani...
Kila mnavyomuandika huyu JPM mnafanya tuso na vyama tuzidi kumuamini...
Tunataka rais independent ...asiyefungamana na matajiri wala mfumo...
Hakuna rais wa namna hiyo duniani. Magufuli amepewa hiyo nafasi na nani km sio waru wachache ndani ya ccm?Kwa hiyo Magufuli hatafungamana na kina Mkapa na Kikwete qfisadi wengine wanaoifadhili ccm wakuwem wwafanya biashara km wa home shopping ceee na vituo vya mafuta vinavyohusishwa ma familia ya rais?
 
hata wananchi walio muitikia msukuma walimsingizia 

Hivi nikikusanaya umati wa watu nikawaambia WayOut amajichafua,nikarudia nakurudia na wale watu wakaitika kwa sauti kabisa kuwa ulijichafua na wewe unajua ni uongo je utasemaje???Utasema sababu ule umati uliitika basi yale yasemwayo ni sahihi???

Ok lets say kweli ajichafua,imagine nu baba yako utakwenda kumtangaza kwenye mikutana baba yangu amejichafua???

Tuache siasa chafu,tuache kuchafuana,tuwe wamoja,tuheshimiane.Tusipende kuendeleza chuki,tuwe wakweli,tupige vita visababu vyote vitakavyotuletea uadui.
 
siku hazi fanani! suala ni kwamba hakuwa hayupo vizuri na bahati mbaya wasio na ustaarabu waka spread as fitina' sio cha ajabu kumtokea yeye na nikitu cha kawaida ila tatizo watu wanapo oppose ndio inatoa tafsiri
mbaya na pia kama afya haikuruhusu kufanya kitu na kung'ang'ani ndio aibu zenyewe zinapo tokea
 
Back
Top Bottom