Timu ya kampeni ya Bernard Membe hii hapa

Timu ya kampeni ya Bernard Membe hii hapa

Kabla yakuendelea nakutuletea team nyingine nakuomba udeclare interest kwanza maanake nasikia harufu ya bias.
 
Membe, Lowasa, Sita, Nyalandu, January, Pinda na Wasira wote ni SHIIIDA! CDM dume lao!
 
Sijawai na sifikri aliyewai kuwa waziri mkuu kwa kashifa ya kujiuzuru anaweza kuupata urais......kwanza nafasi yake na kipindi chote amekuwa serikalini inatosha kutwambia amekuwa muumini wa mabadiriko kiasi gani..kama hajatumia nafasi yake kuifirisi nchi.

Uwezo wa Membe kiakili hautofautiani na jk...jk ni kioo kwa sasa kutafuta rais tunayemwitaji 2015. Bahati nzuri jk amepoteza turufu ya kumleta mgombea anayemtaka...atakachofanya ni kuleta nani anapendwa na watanzania kwa pesa zake. Watanzania nao wamechoka khanga n a t-shirt.
 
Membe kaingia choo cha kike kweli,anamtegemea dada yake mama salma ampigie kifuwa awe rais wa nchi??
 
Nasikia Kingunge naye ana Kambi ya Urais. ocampo four lete habari
 
Last edited by a moderator:
Mbona umetumia nguvu nyingi kuandika nonsense.hafu wewe si analyst maana hoja zako licha tu hazina logic lakin ziko bias sana,ila upende usipende Membe kichwa bwana mengine yako ni mbwembwe tu
 
Mbona umetumia nguvu nyingi kuandika nonsense.hafu wewe si analyst maana hoja zako licha tu hazina logic lakin ziko bias sana,ila upende usipende Membe kichwa bwana mengine yako ni mbwembwe tu

Hhahahhaaha google map inaonyesha hii post imeandikwa kutoka ofisi za WAMA.......Safari hii imekula kwenu tangu lini mke wa rais awachagulie watanzania mgombea never on Earth........
 
Hhahahhaaha google map inaonyesha hii post imeandikwa kutoka ofisi za WAMA.......Safari hii imekula kwenu tangu lini mke wa rais awachagulie watanzania mgombea never on Earth........

Haiwez tokea mkuu ktk nchi ya demokrasia kama tz rais akawachagulia raisi.wananchi ndio wanafanya hivyo mengine ni ubishi wa vichaa wa milembe tu.mim naangalia capability na intellegency ya candidate si vingine na paka sasa kamilius ndo anafaa
 
Mkuu mbona wale wa jana ulikuwa unawapamba na kuwajenga lakini hawa wa leo ni kama unawatukana na kuwachafua siasa kazi kweli tutaona mengi sana mwaka huu wanaotumiwa watajulikana na hata wanaotumwa nao watajulikana.

Huyu anatuoana boya fulani!

Mwache akafue chupi za EL ila watz tunajua nani atachaguliwa
 
Uchambuzi wako una kilema! Jana ulimwaga sifa kibao leo kundi hili unalikandya - mara useme WAMA ni wakusanya fedha mara Gotham. Hueleweki live!

Wewe ni agent wa kutengeneza makundi ndani ya ccm sasa sisi rais ajaye tunaka asiwe na makundi!
 
Kwani umeambiwa kuwa na sources nyingi za fedha ni chukizo?
 
kwa timu hii membe amechemsha,wengi ni wababaishaji na iq zao ni ndoogo sidhani kama wanaweza kupanga strategies za maana
 
Back
Top Bottom