Timu Nimestuka Waistua Bariadi na Simiyu

Timu Nimestuka Waistua Bariadi na Simiyu

Yaani tatizo la vijana kama ww Bwana Chin kumaliza vyuo na kukosa ajira mnatumika vibaya
 
Last edited by a moderator:
Hakuna lolote hapo zaidi ya kuwa programu za kupiga pesa za chama. Vijana changamkieni fursa hizi chama kife kikiwa na madeni, ili kishindwe kufufuka kirahisi
 
Hahahaaaaaaaaaaaaaaaaaa... hii ndio timu nimeshtuka??

kwikwikwikwi

For sure CCM mmepoteza focus... these dudes should act a porno movie, that is what they are good at

Huwezi kumkuta mnyantuzu akachukulia hawa watu serious
 
Bongo movies whats ur political theme kama wasanii na kio kwa jamii?quite devastating.
 
Kabla ya kampeni kuisha kagari hako kasagike ndembendembe
 
Meseji gani mnatuma sasa kwa kutumia hawa watu wa sembe, waliovaa kata tako.... ?? Kweli baba Kinjeketile was right mmeishiwa pumzi.

Hao wengine ni kufyatua mimba kila kukicha !!
 
Back
Top Bottom