Heche leo Meatu - Simiyu

Heche leo Meatu - Simiyu

Quinine

Platinum Member
Joined
Jul 26, 2010
Posts
25,511
Reaction score
62,100
Mhe. Heche amefanya mkutano wa hadhara leo meatu. Kesho atakuwa Bariadi mjini, wanachama na wadau mnaombwa kujitokeza kwa wingi ✌️

HS6ameeWUAAWwwi.jpg

HS6cmEjXkAETqo3.jpg
HS6clgrWkAAj3U7.jpg
 
ajabu wanawaweka sehemu zilizobana...lakini wanafurika kupita kuwa uwanjani
 
Ila Chadema...????

Kimepitia magumu ya Kila namna, na kadiri kinavyozidi kukandamizwa, ndivyo kinavyozidi kupendwa na Malika yote Tanzania

Hiki chama hakiwezi kufa kwa figisu figisu za kijinga kijinga ambazo CCM wanafanya
 
Peleka moto Heche, mbinu outdated za ccm kuua vyama vya upinzani kwa cdm zimegongwa maana.
 
Back
Top Bottom