Hii ni familia ya marafiki wa maendeleo yaani friends of development (FOD au 4D) jukumu letu ni kuleta maendeleo kwenye jamii nzima. Kwakuwa tunapenda maendeleo ndio maana tunamsapot
MH MAGUFULI maana naye ni Rafiki Wa maendeleo
Sisi haturuhusu mijadala ya dini , ugomvi, matusi ,utani, mzaha na post/story zisizo na tija katika kuliendesha gurudumu la Maendeleo kupitia Mgombea Urais kwa Chama cha CCM
Hatupo vijana pekee yetu kuna watu wazima pia, inafaa tuwe na nidhamu..ukikaidi hatua za kinidhamu zitachukuliwa ikiwezekana kukutoa kwenye group ili tuendelee kubaki na wenye dhamira ya kweli.
Sisi ni marafiki wa Magufuli jukumu letu ni kupambana kuelekea Ikulu 2015.
Tutasambaza taarifa zetu katika kila mtandao tuombe watanzania wote watuunge mkono.
Tutakuwa na matukio yetu wenyewe ya kijamii kwa kushirikisha wadau mbambali ila wanachama wa 4d pamoja na watanzania wote kwa ujumla ndiyo tunajukumu la kufanikisha Mheshimiwa Magufuli kwenda Ikulu pale Magogoni.
Tunapambana kwa ajili ya Maendeleo ya Watanzania wote. Hivyo kiongozi yeyote kama atakuwa analeta maendeleo sisi tutamkaribisha na tutamsapot kwanguvu zote..
Karibuni sana
Ukihitaji kuwasiliana nasi:
Whatsapp only 0788605000
# Nkwabi
Katibu.