mangaukawa
Senior Member
- Dec 5, 2014
- 153
- 63
- Thread starter
-
- #81
Magufuli akishinda Napiga Mbizi Mpaka Madagascar.
Tunaruhusiwa kusema madhaifu yake hapa pia?
Magufuli yupi??huyu anayemeza dozi za uwenda wazimu na aliyefungiwa mashine ya mwilini ya kuboost mapigo ya moyo?
Pamoja sana mkuu. Mimi nilikuwa Chadema lakini kwa kuwa wamelichukua fisadi Lowassa sasa kura yangu itaenda kwa Magufuli.
Rev kakobe katika Chadema national conversion Leo mlimani city amemtetea Lowasa kwa kusema "HAKUNA ALIYE MKAMILIFU"
Mh Freeman Mbowe naye kasema hivyo hivyo hakuna aliye mkamilifu hata Chadema "TUPO" wenye dhambi. Vote for Magufuri
Una akili sana,bado kidogo utanifikia,yaani kwa mambo haya yanayofanyika na masisiem nasema km ukikipigia kura chama hiko utakuwa mpumbavu.
Wewe ndiyo mchovu kweli kweli.Tatizo yuko wrong place wrong time imekula kwenu tafuteni vichochoro
Baada ya uchaguz huyo kiumbe wazazi wake waliokosa jina wakamwita jina la kifaa cha ulinzi na kiburudisho cha koo lazima apumulie mashine ya kukoboa nafaka,hataamini masikio yake,viva lowassa jembe letu
Ninazo sababu nyingi lakini mojawapo ni:-
1. Magufuli amekuwa mtumishi wa umma kwa muda mrefu tena akiwa amezungukwa na washawishi wa ufisadi lakini kabaki safi. Naamini atazidi kuwa safi hata akiwa raisi
2. Magufuli aliweza kufanya kazi nzuri ndani ya chama ambako wengi walikuwa blah blah. Naamini akiwa rais impact yake ya kazi nzuri itaenea nchi nzima sio tu serikalini bali hata kwenye mashirika muhimu katika nchi kama TRA, BoT nk ambako utendaji kazi no muhimu mno ili uchumi wa nchi ukue.
In Magufuli I trust hata kama mimi sio CCM au UKAWA.
Wadau kama wewe unampenda kiongozi huyu shupavu ingia hapa tuungane kumuunga mkono huyu Jembe na mzalendo CCM imekufa lakini Magufuli bado ana heshima na si fisadi kama baadhi ya wajumbe waliopo hata upinzani Naamini kuchagua mtu na si chama ndiyo itakayoivusha Tanzania yetu salama kwenye mtihani huu mgumu wa uchaguzi mwaka huu.
Ungana nasi kutengeneza timu ya Ushindi ya ndugu yetu John Pombe Magufuli na tunaamini atayafanyia kazi yale yoote tuliyokubaliana nae kuhusu kuifufua Tanzania inayozama...
Wasalaaam
Mkuu huna adabu, nilidhani Mwenyekiti wako wa chama alisema kuanzia sasa hakuna timu Magufuli, Timu Makamba wala vinginevyo ...ni timu CCM!