Timu Lowassa ambao wako bado CHADEMA wanyimwa fomu za kugombea Arusha

YEHODAYA

JF-Expert Member
Aug 9, 2015
36,908
51,904
Wafuasi wa Lowassa alioenda nao chadema ambao Bado wako ndani ya CHADEMA wamenyimwa kupewa fomu za kugombea uchaguzi ndani ya CHADEMA.

Je, watu Kama Mashinji na Salum Mwalimu ambao walikuwa ni timu Lowassa je uhai wao wa kisiasa ndani ya chama utakuwaje?
 
Wafuasi wa Lowasa alioenda nao chadema ambao Bado wako ndani ya Chadema wamenyimwa kupewa fomu za kugombea uchaguzi ndani ya Chadema.Je watu Kama Mashinji na Salum Mwalimu ambao walikuwa Ni Timu Lowasa je Uhai wao wa kisiasa ndani ya chama utakuwaje?
Kwasababu gani za kimsingi zilizopelekea kunyimwa fomu?

Ubaguzi ndio unaowafanya ccm waonekane ni wema.

Lakin siku zote usilazimishe kupendwa unajiharibia kwa sababu mapenz ya mtu kwa mtu au kitu yapo moyoni mwake.
 
Kama sio wachagga imekula kwao! Chadema lazima ife, ili heshima iwepo!
Kwani umevunjiwa heshima?

Ukiwanyima fomu ndio utapata heshima?

Ikifia chadema ndio maendeleo ya wananchi yatakuepo?

Kwanini mnaogopa chadema na hali mnakubalika nchi mzima?

Uoga wenu uko wapi? Hamjiamini kushindana?

"Mawazo hayapigwi rungu bali mawazo hushindwa ni mawazo yaliyobora zaidi"
 
Wafuasi wa Lowasa alioenda nao chadema ambao Bado wako ndani ya Chadema wamenyimwa kupewa fomu za kugombea uchaguzi ndani ya Chadema.Je watu Kama Mashinji na Salum Mwalimu ambao walikuwa Ni Timu Lowasa je Uhai wao wa kisiasa ndani ya chama utakuwaje?

Wahongeni waje ccm.
 
Kweli pilipili usizozila ni kali vipi Membe amepewa fomu kule?
 
Kama sio wachagga imekula kwao! Chadema lazima ife, ili heshima iwepo!

Cdm hata ikifa, hilo halitupi shida maana elimu waliyo nayo wananchi toka kwa cdm imekita mizizi. Wananchi wengi wameamka na ndio maana baada ya kuona cdm wanafanyiwa hujuma kwa amri ya rais, bado hawaisujudii ccm. Nenda kwenye vituo vya kujiandikisha kupiga kura ndio ujue elimu ya cdm imeeleweka. Majengo yanaweza kufa kwani uwezekano wa kuyahujumu ni mkubwa, lakini elimu iliyotolewa haifi leo wala kesho, na hakuna uwezo wa kuipenda ccm hata cdm ikifutwa na msajili. Habari ndio hiyo.
 
Mkuu tindo, huwa naheshimu sana mawazo yako lakini hapa Umesema "Nenda kwenye vituo vya kujiandikisha kupiga kura....." ni kweli vimedorora, kwa hiyo elimu mlioyowapa watu ni kwamba wasijiandikishe kwenye hivi vituo, muda huo huo mnashiriki kwenye huu uchaguzi? matokeo yake ni nini kama wafuasi wako hawajiandikishi, ndo mwisho wa siku mtu aseme kuwa ameibiwa kura au? hebu nieleweshe hapo vizuri mkuu unataka kumanisha nini? mmejitoa?...
 
Wafuasi wa Lowasa alioenda nao chadema ambao Bado wako ndani ya Chadema wamenyimwa kupewa fomu za kugombea uchaguzi ndani ya Chadema.Je watu Kama Mashinji na Salum Mwalimu ambao walikuwa Ni Timu Lowasa je Uhai wao wa kisiasa ndani ya chama utakuwaje?
Kwa mada hii buku tano leo umezikosa!
 
Sisi wananchi tunaojitambua hatupigi kura maana zinaibiwa na hilo halina mjadala, na wala sio jambo la kuchomekea. Chama kama kinashiriki hilo ni juu yao lakini hatuna muda wa kwenda kupata vilema ili kubariki ccm kukaa madarakani. Hao tuliowapigia kura si ndio hao walihongwa kwenda kuunga mkono juhudi? Hao wapinzani mbali ya kuibiwa kura umeona wakienda mahakamani? Katika mazingira ambayo uchaguzi unahujumiwa wazi wazi, unatarajia umpate mtu mwenye akili timamu wa kushinda kwenye jua/mvua kupoteza muda? Tutapata viongozi kwa njia nyingine sio hiyo ya kipumbavu ya kupatia vilema wapinzani kwa uratibu wa jeshi la polisi.
 
Wafuasi wa Lowasa alioenda nao chadema ambao Bado wako ndani ya Chadema wamenyimwa kupewa fomu za kugombea uchaguzi ndani ya Chadema.Je watu Kama Mashinji na Salum Mwalimu ambao walikuwa Ni Timu Lowasa je Uhai wao wa kisiasa ndani ya chama utakuwaje?
Wewe kama sio mwanachadema hii inakuhusu nini ?, kama ni mwanachadema nini kuanzsha mada kwa mambo ya ndani ya chama ambayo yanapaswa kuongelewa kwenye vikao vya ndani vya chama kwa Heshima.
 
Kwasababu gani za kimsingi zilizopelekea kunyimwa fomu?

Ubaguzi ndio unaowafanya ccm waonekane ni wema.

Lakin siku zote usilazimishe kupendwa unajiharibia kwa sababu mapenz ya mtu kwa mtu au kitu yapo moyoni mwake.
Mapenzi ya ntu yako kwa ntu
 
Back
Top Bottom