Wandugu. Nipo hapa Dar Es Salaam. Hivi naweza pata wapi hii spare coz naona kamkebe kamefikisha 100k kms so inabidi nibadili.
Wandugu. Nipo hapa Dar Es Salaam. Hivi naweza pata wapi hii spare coz naona kamkebe kamefikisha 100k kms so inabidi nibadili.
Nahisi inatumia timing belt sina uhakika, nenda Kariakoo, maeneo ya mwanzo kabisa mtaa wa Msimbazi ukitokea Upanga.
Maduka ya upande wa kulia kwako.
wasiwasi wangu hio utakayoinunua huko kariakoo ingawa itakuwa na zero mileage lakini.....ningekushauri uangalie hali ya huo mkanda kabla ya kuubadili kama una hali yoyote ya kuchakaa,mfano nyuzi kuanza kuonekana au kulika pembeni,kama uko vizuri usiubadili huo mkanda
Asante kwa Ushauri Mkuu. Ila hii inatumia chain sio Belt
kaka timing chain huwa haibadilishwi kama timing belt[100,000km] timing chain inabadilishwa only ikianza kuonyesha dalili fulani kama misfiring,rattling noise au gari kuwaka kwa shida.....ila unaweza kubadili tu kwa kuamua.
Thanks alot TCleverly. Kuna muda nikisimama Gari ikwa kwenye Drive kuna mlio nausikia ila nikiwa kwenye P au N huo mlio haupo. I had this Expirience na Rav 4 too. Ilikua ina behave the same then baada ya buda ikakata hiyo Timing chain.
Thanks so Much kaka
Ninavyojua mimi timing belt zinabadilishwa at least kilomita 1000. Hiyo ya kilomita 100.. mmmmmhhh. Ngoja mafundi waje hapa.Wandugu. Nipo hapa Dar Es Salaam. Hivi naweza pata wapi hii spare coz naona kamkebe kamefikisha 100k kms so inabidi nibadili.
Ninavyojua mimi timing belt zinabadilishwa at least kilomita 1000. Hiyo ya kilomita 100.. mmmmmhhh. Ngoja mafundi waje hapa.
Mkuu hiyo nikweli kabisa ndiyo maana nikashangaa jamaa aliposema anabadili T/B baada ya KM 100. Ndiyo maana nikasema kwa uchache KM 1000, lakini huwa ni kuanzia KM 3000 na kundelea.brother....timing belt km 1000???hata service ya gari sio km 1000......kwa maana hio huwa unabadili timing belt kila ukifanya service au mara 2 kabla ya service....kama kuna mtu unamtuma akubadilishie kila baada ya km 1000 unaibiwa ndugu....timing belt haibadilishwi after 1000km nyingi ni 100,000km+
kama imeanza kumisbehave na ulishaface hio kitu ni vizuri ukaibadili....nenda pale msimbazi kuna duka linaitwa KISANGANI just after azam bus stop msimbazi wale spare zao ni approved...ukikosa pale msimbazi hio hio kuna duka linaitwa MASTERCARD nao wanajitahidi na quality ya vitu vyao,hili lipo upande wa kulia kuelekea police ya msimbazi ila kabla hujafika usawa wa polisi msimbazi
Ninavyojua mimi timing belt zinabadilishwa at least kilomita 1000. Hiyo ya kilomita 100.. mmmmmhhh. Ngoja mafundi waje hapa.
Imeshaanza kuwaka taa ya Timing belt? Maana lazima itakuwa inawaka kwa interval fulani.Thanks alot TCleverly. Kuna muda nikisimama Gari ikwa kwenye Drive kuna mlio nausikia ila nikiwa kwenye P au N huo mlio haupo. I had this Expirience na Rav 4 too. Ilikua ina behave the same then baada ya buda ikakata hiyo Timing chain.
Thanks so Much kaka
Mkuu hiyo nikweli kabisa ndiyo maana nikashangaa jamaa aliposema anabadili T/B baada ya KM 100. Ndiyo maana nikasema kwa uchache KM 1000, lakini huwa ni kuanzia KM 3000 na kundelea.
Mimi gari yangu niliyoanzia maisha nilimvua mtu ikiwa na kilomita 100,000 nilibadilisha mwezi uliopita ikiwa na kilomita 200,000 tena baada ya kuona kuna wakati taa ya T/B inawaka na kuzima. Thanks.
Mkuu icon ya hiyo kitu ipo, ipo na Shape ya square yenye rangi kama ya Orange hivi.Hivi gari ya petrol ina Timing belt light?
Wewe umetoa ushauri wa kitaalam,Na kwa kuwa umesema ukisimama na gari ikiwa kwa D mlio unausikia, I'm sure it's not chain ware out, ni kwamba Engine rotation pressure inakuwa ndogo kukeep up the proper cycling, gari ukianza kutembea kisauti kinapotea. Ikiwa N au P hausikiii, means kwamba there is no excellaration engagement mechanism kwenye Engine, kwa hiyo chain haifanyi chochote. Hapo tatizo ni Chain tensional. Ikikazwa you won't hear that sound when you engage to D while stoping.
Asante