Time Travel: Je, linaweza kuwa suluhisho la kifo?

Mkuu niambie kitu ambacho kilichofanyika bila kua cha kufikirika...
Swali lako ni vague sana ,unamaanisha nini.....sio kila kitu kinatokana na kufikirika vingine vinatokana na uhitaji mazingira, bahati ,makosa nk
 
nikweli mkuu...you are right.....the future is determined by your imagination..we need something to explain this..whatever. you imagine is whta going. to manifest into physical form. of reality......

The mind (mental) through imagination is the engine of your future....nothing comes out without mental imagination..
Mkuu kuna kitu nakifanya hapa nikimaliza natamani tuliweke sawa hili jambo...life is illusion brought by mental construct unles perceived in reality.....reality is constructed by your mental....your mental mind creates your reality of your future....
Mkuu wewe ndo baba swalehe ?
 
View attachment 1102207
SALUTE
Mara nyingi hua nasema vitu tunavyoona ni vyakijinga havi-make sense machoni na masikioni mwetu ndio hua na maana na vimeleta mabadiriko makubwa duniani kwetu. Mfano swali la kijinga zaidi alilowahi kujiuliza mwanasayans Issac Newton leo hii limetulitea mabadiriko na maendeleo kwenye maisha , hebu fikiria kama leo hii isac newton angekuuliza kwanini apple limemuangukia kichwani halikwenda juu ungemuona vipi? Hilo swali unaloliona la kijinga limeleta maendeleo makubwa sana. Pia ndoto moja aliyoota albert Einstein waweza kuona ni ya kawaida sana au haina maana lakini ni moja kati ya ndoto iliyoleta mafanikio makubwa duniani, kupitia ndoto tu ya kawaida sana aliyoota tulipata kitu kinachoitwa Theory of Ralativity mambo ya Emc2 yote yote unaweza ona ni kitu cha kawaida ila kina impact kubwa kwenye tasnia ya sayansi

Tarehe 11/5/2019 nilibahatika kuangalia muvi hii inayoitwa Avangers: Endgame, content iliyomo kwenye muvi hii ni Time Traveling, baada ya kuangalia muvi I really admitted that Death might no longer a threat to Mankind!.. Baada ya thanos ku-wipe nusu binaadamu wote ulimwenguni (Universe) , njia pekee iliyobakia kutimka ili kuwarudisha wale waliopotea. Probably Human can stop his Destiny which is Death, Nawaza tu labda Binaadamu twaweza kukiepuka na kukizuia kifo kwa kutumia Theory ya Time Traveling.

Time Travel ni nini..?

Ni kitendo cha kusafiri kutoka sehemu moja kwenda nyingine ndani ya muda, namaanisha kua mtu anaweza kusafiri leo hii kwenda miaka 5,10,20,25 nk ijayo (Future) au kusafiri kurudi miaka 10,20,30,40,nk iliyopita (Past). Hadithi nyingi za zamani zimekua zikielezea swala hili la kusafiri katika muda.

Huko India kuna hadithi inamzungumzia mfale Raivata Kakudumi ambae alisafiri kwenda mbinguni kukutana na mung wake Brahma, aliporudi alishangaa kua ni miaka mingi imepita. Japan pia kuna hadithi inaitwa Nihongi, inamwelezea kijana mmoja mvuvi anayeitwa Urashima taro ambae alitembelea sehemu iliyochini ya maji, baada ya siku tatu alirudi kijijini kwake akakuta ni miaka 300 imepita, alikuta familia yake imefariki yote. Pia kwa wayahudi mnamo karne ya 1BC mwanafunzi aitwae Honi ha-M'agel inasemekana ailisinzia kwa muda wa miaka 27 alipoamka alikuta hakuna mtu aliyemjua sehemu aliyokua anaishi. Na simulizi nyingii sana kuhusu hii nadharia zimetolewa waweza tafuta ukasoma zaidi.

Wakati watu wengi wakidhani kua muda hautofautiani lakini Mwanasayansi Albert Einstein anaelezea kua muda (Time) haupo hivyo wanavyodhani, unaweza kutofautiana kwa mazingira tofauti, kutegemeana na kasi unayotembea nayo angani (in space)…Theory of special relative ya Enstein inasema kua muda kwenda haraka au kwenda taratibu inategemea na kasii unavyo safiri, mtu akisafiri kwa kasi ya mwanga kwa chombo cha anga angani umri wake utakua mdogo kulinganisha na ndugu au wazazi wake aliowaacha angani..kama akirudi yeye atakua kijana lakini nduguze watakua wamezeeka au wakawa wameshafariki.

Pia kwenye theory ya Albert Einstein ya Theory of General relativity anaelezea kua Garvity (kani ya uvutano) inaweza kupeleka muda mbele au kurudisha nyuma. Anaeleza kua chombo cha anaga kikiwa huko anagani kikakutana na kani ya uvutano basi hua kani hiyo husababisha muda kua slow, hivyo basi hata wanasayansi wa anaga wanakubali kua wasafiri wa anga wanaporudi duniani hua wapo nyuma kimuda yaani saa ya duniani inakua mbele kwa muda microsecond 38 kwa siku. Wanahitimisha kwa kusema mfano msafiri mmoja wa anaga ana pacha wake duniani ammbae hafu akikaa huko angani labda siku 14, Yule pacha aliyebaki duniani atamshinda kwa muda wa microsecond 532 (chukua Microsecond 38 zidisha siku 14)

TIME MACHINE

Ili kufanikisha kusafiri katika muda inabidi kuwe na kifaa kinachoiitwa Time machine ambacho hichi kifaa kinauwezo wa kupeleka muda mbele au kurudisha muda nyuma. Bado wanasayansi wanalifanyia kazi suala hili, muda sio mrefu inaweza kuthibishwa kua Time machine inaweza kuanza kufanya kazi. Jinsi Nadharia ya Time Machine inavyofanya kazi kiukweli inanishinda kuielezea kwa Kiswahili kutokana na Ambiguity ya lugha yetu hii. Humo ni masuala ya physics tu so nashindwa niwekeje kwa lugha yetu labda aliyesoma hii kitu akaelewa inavyofanya kazi atatuelezea lifecoded.

Kwenye hili suala la tme Travel kuna kitu kinaitwa Grandfather Paradox ambapo hiki ni kitendo ambacho Time Traveller anarudi kwenye wakati uliopita kisha anaua wazazi wake au babu zake ili yeye awe hakuzaliwa.Kwa mujibu wa wanasayansi na wanafalasafa kama Plato kwenye theory yake ya Platonism anasema kua kubadili maisha yako ya nyuma hakuwezi kuathiri maisha yako ya sasa, lakini mambo yote hayo mawili yanakuja kupingwa na nadharia ya Butterfly Effectt ambapo inasema kua mabadiriko kidogo kwenye sehemu moja yanaweza kuleta mabadiriko makubwa au utofauti mkubwa baadae katika sehemu nyingine

Hii inamaanisha kwamba kama time traveler akirudi katika maisha yaliyopita akamuua baba aua babu yake anaweza sababisha mabadiriko katika maisha yake aliyotoka au future yake.

Kwa muhtsari huu kuhusu theory ya Time Traveling iko hivo japo watafiti wengi wanasema Time Travel hauwezekani iko too theoretically ila mimi naona hiki kitu ni real kabisa kipo, kwanini? Unajua binaadamu hawezi kufikiri nje ya vitu ambavyo vipo duniani nikimaanisha kua hata mimi au wewe hatuwezi kuwaza au kufikiri nje ya vile vitu tulivyoviona,kuambiwa au viliwahi kuwepo. Utawaza Mungu kwakua ulisikia kua kuna Mungu, utawaza nyumba kwakua ushaiona nyumba nk nk. Mantiki yangu ni kwamba hata hao watu wanaosema time travel is real hawakukaa tu wakafikiri kitu amabacho hakipo, mtazamo wangu naamini hiki kitu kipo na kinafanya kazi labda kwa siri kumbuka hata Internet tunaambiwa imeletwa mwaka 1991 na Tim Berners lee lakini ni kitu kipo toka miaka ya 1950s sema Tim aliifanya kua Popular baada ya kutengeneza World Wide Web…

Lakini haya ni mawazo yangu tu kwamba labada kama Time Machine ikifanikiwa kutengenezwa watu wanaweza kuitumia kukwepa kifo labda kwa kurudisha muda nyuma na kukwepa kile kitu kilichopelekea kufariki..kwa mafano kwenye muvi inaitwa Time Trveler’s wife wameelezea tukio hili linavyoweza kufanyika.
~Da'vinci..

I think I get what you call “time traveling “.Movies zile Wana act hii vitu ambavyo viko .Time traveling Ni kitu kinachotokea katika ulimwengu wa roho .Kinachosafiri pale ni nafsi .Huyo anaesema kuwa alisafrii kwenda Baharini miaka ni wale wanaokwenda chini ya bahari katika roho .Wale wenye “vifungo vya nafsini “ hao wanaosema wame travel most likely wamesafiri bila kujijua it’s not like Wana command wenywe .Sio wana travel Kwa kupenda wanafungwa katika nafsi zao .Ndo wanaitwaga misukule ya nafsi hiyo mtu yuko hapa kimwili lakini nafsi iko baharini Au kuzimu Au kwenye mapango ya a mboni anahisi ni miaka iliyopita mwingine anakuwa yuko nchi ingine ndo anadhani ni future .Hakuna cha future wala past ni vifungo vya nafsi hivyo .inshort ni nguvu za Giza tu hizo
 
Kuna vitu vingine ukipeleka katika Logistics
Vinagoma au kukataa, kwa mfano habari ya huyo Bwn. Aliyesema ametokea nchi ya Tuared, ni rahisi mtu kumwita Alien kama movie zingine zinavyoeleza

Lakini vitu vingine ni dhana kisha nadharia vinavyotengenezwa katika mindset za watu, kwa mfano ni lazima mtu ujiulize kama huyo mtu ambaye ni binadamu wa kawaida aliyeonekana kutokea katika asili ya watu wa ulaya alipoingia kwny hicho chumba cha kulala hotelini,

Ni kwanini uongozi wa hotel waliamua kumchunga tena kwa walinzi wawili??? I doubt,

Je Wateja wengine walilindwa hivyo? Inamaana walitegemea kuwa kuna kitu kitatokea? Au kitafanywa na huyo mtu wa kawaida tu?

Hizi ni results za fikra za baadhi ya watu wenye uwezo mkubwa wa kufikiri wanatoa dhana na kujenga nadharia ambazo hazidhibitishiki kiuhalisia.

Ni kama habari za Alliens, Freemasons n.k
 
mwanga tunaouna kwenye nyota,ni mwanga wa past..nyota iliyokaribu na dunia (alpha century ) mwanga wake unachukua zaidi ya miaka 4 kutufikia ina maana mwanga tunauona ni wa 2015,,,,ndio umetufikia leo 2019

kuna galaxy zipo million miles light year,kama kuna alien wapo huku na wana strong telescope wakiivuta dunia wataona tupo enzi za mawe na ma dinasours . .. ..

so mwanga tunao uona ni wa past..mwanga wa jua tu upo nyuma dakika 8 na sekunde 20...
NI HIVII.....

Personally, ninaamini kuwa:-

Kuna mabadiliko makubwa sana ya kisayansi yatakuja duniani kwa miaka mingi ijayo na yatabadilisha maisha ya binadamu, hii ni kwasababu ya mfano kama uwepo wa. ''Internet'' au hata ''Miale''

Ni mambo yasiyo ya kawaida hata kidogo.

LAKINI:-

Some concepts in science have neither facts nor evidences...

Kwa mfano mbali na mimi kuamini tu huo muda wa miaka inayotake place kwa starlight n sunlight kutufikia duniani (planet earth)...ninaanza kwa kuquestion components zilizopo katika jua na nyota na kiasi/asilimia ya kila component...

Kwamba katika jua kuna Hydrogen,Helium (kwa wing) na gesi zingine kama Carbondioxide etc

• Huwa najiuliza:

Ni nani huyo aliyefika juani na kulichunguza jua mpaka kujua components ziizoitengeneza jua?

Alitumia chombo gani?

Je Galileo alifika juani?

Ushahidi kuwa Jua limechunguzwa na kuwa classified ni upi?

Nyota zipo mbali sanaaa kuliko jua na kina ukubwa unaozidi jua mara nyingi mno,.....(Acc to science point of view)

• Huwa najiuliza:

Ni nani huyo aliyeweza kusafiri Juu zaidi ya jua na kuifikia japo nyota moja na kupima (sio kukadiria) muda au dakika ambazo mwanga wa nyota unasafiri kuifikia dunia?

Ninaomba nijibiwe scientifically n logically.

Cc: Da'Vinci impongo BOB OS
 
Nasubiri jibu la swali hili
 
mkuu..mbona unaumiza akili hivo kujua nani alifika kule na kuona hizo components....ni hivi kuna development kubwa sana, sasa hivi hatuhitaji observer ili kupata accurate value but we can use Electromagnetic laser analyser kuseparate components zinatoka kwenye Sun....

We can scan all metals around the earth's crust bila kwenda chini......mpaka sasa maeneo yote wenye madini yanajulikana na muda wa kuyahavest ukifika ndo hiyo mikataba unasikia kuwa kuna muwekezaji anakuja kuchimba madini flani...

kingine cha kujua hizo components za kwenye jua ni simple sana mkuu.....kuna kifaa maalumu ambacho kinasplit electromagnetic waves zote zinazotoka kwenye jua kwa mara moja...kwa hiyo kuna fraction percent za Helium zinaonekana kwenye mass spectrometer ya UV lights ......so ni rahisi sana kuyajua hayo.....

Ni sawa sawa na kuambiwa kuwa kwenye Milky way galaxy kuna mabilioni ya solar system..haimanishi kuwa nani alifika kule ila kuna formular flani ya nanospeed meter katika kupima mzunguko flani ambao utakupa jibu lote...

umeambiwa umbali kutoka dar to Moro km 200 halafu gari linatakiwa likimbie kwa maintainable speed 80km/ h ,halafu unaambiwa tuambie gari litafika saa ngapi....
hapo haimanishi kuwa unatakiwa usafiri kwenye hiyo gari ili upate exactly time ila mtu anayetumia calculation za kimahesabu atapata jibu la muda sahihi kuliko wewe ambae unataka usafiri ndo ujue ukweli..

Ni hivi mkuu,mathematics is the code language to reveal any mystery iliyopo katika ulimwengu huu....

All secretes about this universe are explained under Sacred geometry

mathematics is the key to understand unsolved paradoxy
 
Shukran sana

Kuumiza akili kujua hayo si kweli

Nimekuwa nikipata majibu hayahaya tangu 2010 kutoka kwa Academician maarufu Dr. Kilasi ambaye yupo Finland kw sasa

Ni mtaalam sana wa Climatology na Astronomy.

Hivi vipimo vilichukuliwa mwaka upi/ karne ipi?

Kipimo hicho kinaitwaje?
 
umesema umekuwa ukimfuatilia huyo mtaalamu kwa muda mrefu,tueleze ulichoelewa kuhusu distance calibration na estimation walizokuwa wanaongelea.....

Umeuliza jina la kifaaa then so what if you can't believe kuwa it is posible....!!

Kama umeweza kukubali mfumo wa calibration wa saa yako ya mkononi ambayo inabeat kila baada ya sekunde moja ili kuweza kupata mzunguko wa masaa 24 kwa siku na ndo hizo estimation ambazo zinaendesha matukio yote yanayotuweka tuwe alarmed kwa lolote ,iweje ushidwe kukubali estimation za hayo mambo mengine....!!?

Hebu relax kwanza na ukubali kuwa kila kitu kinawezekana.....unazungukwa na mambo ambayo yanaoperate katika mazingira ambayo akili ya kawaida haiwez kukubali ila kila kitu kinawezekana..

Learn to receive new ideas utakuja kuona kuwa kile ambacho ulikuwa unakiopose kinawezekana tena kwa namna ya kawaida sana.

By the way explanation ya haya mambo yapo katik Quantum level na sio level za kawaida...ila ukilazimisha uelewe kwa explanation za kwenye Youtube you real miss something mkuu but unaweza. pata pa kuanzia japo youtube mi naona wanarahisisha sana ilaunahitaji upate maarifa mengine toka source za vitabu ndo utaweza kuconnect dots za kinachokuwa kinaelezewa kule..

Naomba usome mfumo wa Quantum computer halafu ujue ni namna gani mashine zinasaidia kudadavua mambo....soma hata huko huko youtube utaelewa kiasi flani jinsi mambo mazito yanafanyiwa calibration kwa kutumia Quantum technology ambao ni mfumo unatumia Artificial Intelligence kusolve code paradoxy za universal misteries

Ni kwanini unanilisha maneno ambayo sijayasema?

Ni wapi nimesema it's impossible? kwasababu nimeuliza jina la kifaa kilichotumika?

Nijibu tu kwanza hilo then tuendelee na mnakasha mkuu.

Leave away levels differences...!

Kuhusu Distance calibration n estimation hakuna mahali nimesema nimefunzwa hayo...right?
 
kwanini upo interested na kifaaa....na sio mengine..?? umesema ulikuwa unamfuatilia ulielewa nink kuhusu hiyo astronomymkuu...simple like that..?? tuanzie ulipoishia....
 
umesema umekuwa ukimfuatilia huyo mtaalamu kwa muda mrefu,tueleze ulichoelewa kuhusu distance calibration na estimation walizokuwa wanaongelea.....

Umeuliza jina la kifaaa then so what if you can't believe kuwa it is posible....!!

Kama umeweza kukubali mfumo wa calibration wa saa yako ya mkononi ambayo inabeat kila baada ya sekunde moja ili kuweza kupata mzunguko wa masaa 24 kwa siku na ndo hizo estimation ambazo zinaendesha matukio yote yanayotuweka tuwe alarmed kwa lolote ,iweje ushidwe kukubali estimation za hayo mambo mengine....!!?

Hebu relax kwanza na ukubali kuwa kila kitu kinawezekana.....unazungukwa na mambo ambayo yanaoperate katika mazingira ambayo akili ya kawaida haiwez kukubali ila kila kitu kinawezekana..

Learn to receive new ideas utakuja kuona kuwa kile ambacho ulikuwa unakiopose kinawezekana tena kwa namna ya kawaida sana.

By the way explanation ya haya mambo yapo katik Quantum level na sio level za kawaida...ila ukilazimisha uelewe kwa explanation za kwenye Youtube you real miss something mkuu but unaweza. pata pa kuanzia japo youtube mi naona wanarahisisha sana ilaunahitaji upate maarifa mengine toka source za vitabu ndo utaweza kuconnect dots za kinachokuwa kinaelezewa kule..

Naomba usome mfumo wa Quantum computer halafu ujue ni namna gani mashine zinasaidia kudadavua mambo....soma hata huko huko youtube utaelewa kiasi flani jinsi mambo mazito yanafanyiwa calibration kwa kutumia Quantum technology ambao ni mfumo unatumia Artificial Intelligence kusolve code paradoxy za universal misteries
Hahaha....nisome hukuhuku youtube....we we jamaa wewe!!!!

I made some follow up on ua comments n wondered a bit

Ok, umejuaje hata kuwa nimesoma au nimepita you tube kugrab any material?
 
Shukran sana

Kuumiza akili kujua hayo si kweli

Nimekuwa nikipata majibu hayahaya tangu 2010 kutoka kwa Academician maarufu Dr. Kilasi ambaye yupo Finland kw sasa

Ni mtaalam sana wa Climatology na Astronomy.

Hivi vipimo vilichukuliwa mwaka upi/ karne ipi?

Kipimo hicho kinaitwaje?
umeuliza vipimo vilichukuliwa karne ipi..? huyo Dr wako alisemaje juu ya hilo.... ? naamini kama kweli ulikuwa unafuatilia Quantum astronomy ( Astrophysics)basi jibu utakuwa unalijua....
 
kwanini upo interested na kifaaa....na sio mengine..?? umesema ulikuwa unamfuatilia ulielewa nink kuhusu hiyo astronomymkuu...simple like that..?? tuanzie ulipoishia....
Kwanini unaniuliza maswali kabla ya kujibu yangu kwanza?

Ninapenda kufahamu vifaa vilivyotumika, kuhusu ardhini, Geographical Information System inahusika

BT am more interested kujua kifaa klichotumika kuclassify components of the sun
 
umeuliza vipimo vilichukuliwa karne ipi..? huyo Dr wako alisemaje juu ya hilo.... ? naamini kama kweli ulikuwa unafuatilia Qjantum astronomy basi jibu utakuwa unalijua....
Hakunitajia...ndio maana nikauliza hapa.

Kama wewe hujui acha ajibu anayejua chief,
 
umeuliza vipimo vilichukuliwa karne ipi..? huyo Dr wako alisemaje juu ya hilo.... ? naamini kama kweli ulikuwa unafuatilia Qjantum astronomy basi jibu utakuwa unalijua....
Then usimkariri huyu Dr. tu, nimekuwa nikiuliza hili swali kwa watu wengi tu unfortunately sijawahi kupata jibu kamilifu.
 
Hahaha....nisome hukuhuku youtube....we we jamaa wewe!!!!

I made some follow up on ua comments n wondered a bit

Ok, umejuaje hata kuwa nimesoma au nimepita you tube kugrab any material?
lengo la kukwambia ukapitie youtube juu ya Quantum technology wameelezea jinsi ambavyo mfumo wa kalibration unafanyika kwa kutumia mashine....

The problem is unalazimisha akili ya mwanadamu ifanye hiyo kazi wakati kila siku tunasema mwanadamu hawez kufanya kalikulation hizo kubwa ila kuna mashine maalumu lakini unauliza tena mashine zinaitwaje...daaaah....tusiwe Layman mkuu wakati unajua mambo jinsi yalivyo....ndo nikakwambia tusipoteze muda nenda hata huko Youtube upitie kuhusu Quantum computing uone jinsi mashine zinavoweza kuperform mambo mazito katika Quantum level( mfumo tata)

Very sory kama nimekukwaza chief...
 
Back
Top Bottom