Mgeni wa Jiji
JF-Expert Member
- Jul 27, 2017
- 10,488
- 20,038
Hela ya Tiktok ni unapewa na followers sasa kama anafikiria kuwa ni hela ipo tu hewani πππ hapo kazingua.So unaelewa hao live streaming ndio wanapewa donations na fans sasa huyo hajui
na hio ni ndogo kuna mademu wale wana kaa uchi wana make even 100$
ππππ uvivu huo mka lime uko shambaWee ndo umesema kweli.
Hakuna shortcuts na Bongo Serekali imewapiga Pin kuanzia YouTube kwasababu wanajua vijana mkiachiwa m-download Pesa hamtofanya kazi mtashinda tu mtandaoni basi unapata followers unapata likes unapata Pesa sio Bongo shika jembe ukalime au hamia Kenya ukacheze TikTok ukishindwa vaa dela tutingishie matakoHow much does TikTok pay per view?
Top creators have revealed that TikTok pays between $0.02 and $0.04 per 1,000 views through the Creator Fund program.
8 ways to start making money on TikTok
Kila la heri Mkuu, wengine humu ni kula kulala, hawana idea yoyote Kichwani, wengine ni Wakulima huko Mpwapwike, huwa wanasikia tu Youtube wanalipa, facebook wanalipa, na kuna wengine ndo wanajua leo kuwa Tik tok pia wanalipa!
- Join the TikTok Creativity Program. Users who've built up a substantial following might consider making money through the TikTok Creativity Program. ...
- Sell merch. ...
- Go live for virtual gifts. ...
- Affiliate partnerships. ...
- Create in-feed ads. ...
- Crowdfund projects. ...
- Collect tips. ...
- Patreon subscriptions.
Wasikuvunje Moyo.
Wengi wanaongelea stori za kijiweni na si ajabu hata huko Tiktok hawapo, basi tu wanamsagia kunguni mdauWee ndo umesema kweli.
Akavae dela atingishe matakohapo nikuwa dalali
kuuza space
kuenda live /works kwa ladies hasa/
na kuwa brandy ambassador
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] acc ang ya tiktok ina followers 5.7k[emoji23][emoji23][emoji23][emoji174] uvivu huo mka lime uko shamba
Bro usiwaaminishe watu kitu ambacho hakipo we was been there usituchukulie Sisi mazombiWengi wanaongelea stori za kijiweni na si ajabu hata huko Tiktok hawapo, basi tu wanamsagia kunguni mdau
Kwa kweli.Wengi wanaongelea stori za kijiweni na si ajabu hata huko Tiktok hawapo, basi tu wanamsagia kunguni mdau
Nani akulipe wewe upo Bongo huku Serekali yako inataka Kodi hadi za TikTok[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] acc ang ya tiktok ina followers 5.7k
Na sihitaji malipo yao.
Niko kule for fun.
Ushaelewa au bado una njaa ya pesa za kupakua mtandaoni?Kwa kweli.
ndo la 10k π Mademu wanaweza ngumu kwa wanaume anae jitafuta Wifi kwa mwenz ni 70kHela ya Tiktok ni unapewa na followers sasa kama anafikiria kuwa ni hela ipo tu hewani πππ hapo kazingua.
Anatakiwa aelekezwe kuwa ili apate.hela ya Tiktok awe strategically hasa kwenye followers wake.
Anatakiwa awasome followers wa Tiktok na afahamu ni followers wa nchi gani wanatabia ya kuwa gift tiktokers akishafahamu sasa aanze kukomaa nao kwa kuwa follow na ahakikishe wana follow back, then aanze ku share nao videos zake inbox ili awavute kumtembelea (hapo bado hatapata shilingi maana silingi ni hadi uwe live)
Sasa akishatengeneza fan base yake aanze kwenda live huku aki sharelive yake na hao followers sasa, ikiwezekana awe na simu mbili au tatu zenye Acc tofauti za tiktok, yaani hii anaenda luve hizi mbili ana share live yake. (Akomae kiasi awe serious)
Sasa hapo bado lazima aunganishe hiyo Acc ya Tiktok na visa ili akiwa gifted apate maokoto.
Kikubwa aweke contents zinazomhusu yeye sio picha za wakina Ronaldo mara Messi kifupi awe real asiwe parody ili ajenge trust ya fans wake wasihisi ni fake.
Akiamua anaweza akawa anaenda live kwebye issue za utalii labda utalii wa ndege au wadudu au hata historia au utamaduni uzuri bongo contents ambazo ni interested zipo nyingi sana so atafute hizo zilizo unique na on field kabisa.
Pia ajue lugha ya kiingereza, itamsaidia zaidi japo si lazima ila hashtags awe nazo na title ya live ziwe sawa na contents.
Ila ajue bando hapo sio chini ya 10k kwa siku so ajitafakari anaweza au anatamani tu.
Ila its very possible na haiitaji uvivu wala uzembe wakijinga awe sharp.
Jamani mie mbna hata sitaki malipo, niko for fun tyuuh.Nani akulipe wewe upo Bongo huku Serekali yako inataka Kodi hadi za TikTok
Unatutingishia matakoJamani mie mbna hata sitaki malipo, niko for fun tyuuh.
Mkuu, wewe haujui Tiktok na sidhani kama hata una Acc tiktok. Wewe unaongelea nadharia tu za kijima.Umekunywa bapa kubwa au Ndogo? Yaan unasema awasumbue alafu hausemi awasumbue watanzania unasema awasumbue wakenya alafu hapo hapo huyo mtu yupo Tanzania sio Kenya na bado unasema rahisi mnafikiri kila kitu ni mtelemko tu yaan uamke leo ujiunge TikTok kesho upo kwenye ATM tusingesikia wakenya wakilalamika ugumu wa maisha, punguza kilevi
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] wee em niwacheee, vijisenti nilivyonavyo vinanitoshaa bhanaa.Ushaelewa au bado una njaa ya pesa za kupakua mtandaoni?
Na kichwa na miguu pia.Unatutingishia matako
Acha ubishi basi Mkuu, au wewe Muha nini Mkuu? (Joke)Bro usiwaaminishe watu kitu ambacho hakipo we was been there usituchukulie Sisi mazombi
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] acc ang ya tiktok ina followers 5.7k
Na sihitaji malipo yao.
Huwez kusoma? mbona maelezo yote yamewekwa hapa[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] acc ang ya tiktok ina followers 5.7k
Na sihitaji malipo yao.
Niko kule for fun.
Upuuzi wanadandia WiFi za bure shenzitypeba
ndo la 10k π Mademu wanaweza ngumu kwa wanaume anae jitafuta Wifi kwa mwenz ni 70k